Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
- Thread starter
-
- #321
Nawaza hapa baba yako ni nani?
Sasa mwanangu huyo mtoto wa nani ambae wazazi wake wamemchoka hivyo wa kuolewa na wewe? Ungekua na nguvu hata ningesema nianzishe bustani ya mapapai uwe unayamwagilia ila ndio vile tena[emoji134][emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acheni ujingaa, huyu jael sijui anampango gani na mimi kutaka kupeperusha ndege wangu, anataka nife single [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee pambana tu mitara imenishinda
Heee alooo haya ukimaliza na M nenda na kwa J....
mxieew
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nahisi we unaweza, mie sivai hizo ndude na nazurura kama kawa.
Mengine tunamuachia Mungu tu hamna aliyekuja kulinda dunia sote tunapita, unaweza usife kwa corona ila ukafa kwa ajali ya gari huku umevaa barakoa yako usoni.
Baada ya kujikarantini na michepuko yako hukoooo umechoka sasa akili zinakurudia eeh?[emoji73] nafanya mpango nijikarantini nawe
Saivi umejikarantini na nani eti jamani[emoji73] nafanya mpango nijikarantini nawe
Sasa mwanangu huyo mtoto wa nani ambae wazazi wake wamemchoka hivyo wa kuolewa na wewe? Ungekua na nguvu hata ningesema nianzishe bustani ya mapapai uwe unayamwagilia ila ndio vile tena[emoji134][emoji134][emoji134]
Kwa heri .J huyo si mainchik...niende kwake tena kufanya nini wakati mimi na yeye ni pika pakua..
Bebe id yako nyingine ni ipi?[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, simkumbuki[emoji848]
Mimi saivi nimeamua kukuwa singo tuu auntieBaada ya kujikarantini na michepuko yako hukoooo umechoka sasa akili zinakurudia eeh?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nahisi we unaweza, mie sivai hizo ndude na nazurura kama kawa.
Mengine tunamuachia Mungu tu hamna aliyekuja kulinda dunia sote tunapita, unaweza usife kwa corona ila ukafa kwa ajali ya gari huku umevaa barakoa yako usoni.
Swali zuri.Saivi umejikarantini na nani eti jamani
Kwa shangazi zako bwana, mie nalaumiwaje kwamfano?
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] tenaHalafu nimekumbuka wala hana baba ujue!!
Kumbe kuna siku huwa una akili eeh?Mimi saivi nimeamua kukuwa singo tuu auntie
Auntie mkwe wako ndo basi tenaSwali zuri.
JLW