Kweli kabisa hizi akili za baba yake kabisaaa. Kanda ya ziwa hatuna hizi gene.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we hata ukizeeka zaa tu mama wala usiogope, siyo watoto wote wa uzeeni wako hivyo.
Lakini inawezekana labda karithi kutoka kwa baba yake [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Unacheka badala ufafanue we pampula!!!!
Njoo ujibu maswali huku. Halafu uache uhuni wako.
Hawa watoto wa uzeeni taabu tupu, hawakuwagi wazima.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] madai yake eti anachangamsha genge tu, mi nahisi hukuwahi mchapa mwanao.
Unacheka badala ufafanue we pampula!!!!
Hahaha....dah nimeimiss JF walahNitafyatua hadi vya kufyatua viishe.
Njoo ujibu maswali huku. Halafu uache uhuni wako.
Mwee yaani unakandia kabisa, ama kweli namuonea huruma shemeji yangu maana hana mke hapa.Kweli kabisa hizi akili za baba yake kabisaaa. Kanda ya ziwa hatuna hizi gene.
Ugali mtamu ndugu...huu sio umri wa kukutana na izraili...Duuh ama kweli umeamua kufanya 'shosho distensing', inaonekana uko vizuri aisee.
NdioNifafanue kutoa boko au
Watu wa mpira nisaidieni hapa....
@troublemaker
Sent using Jamii Forums mobile app
Nifafanue kutoa boko au
Watu wa mpira nisaidieni hapa....
@troublemaker
Sent using Jamii Forums mobile app
We jifiche tu, ukizikwa usiku hata hatutojua. Hope urithi ushaandika.Hahaha....dah nimeimiss JF walah
We naye kwa mafumbo, haya naomba ufafanuzi hapo kwa Shigongo sasa hivi.Babez naona mnanisema....msiofu bana simnajua mimi kama shigongo tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji848][emoji848][emoji848]Nipo tayari kuacha....for you mamaaa for mamaaa,your special[emoji443][emoji445][emoji445][emoji444]
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu nimekumbuka wala hana baba ujue!!Mwee yaani unakandia kabisa, ama kweli namuonea huruma shemeji yangu maana hana mke hapa.
Kwani we umesahau mtoto akiharibika kosa ni la mama, inatakiwa umuombee asirithi tabia za baba yake incase baba ni mti mti.
We naye kwa mafumbo, haya naomba ufafanuzi hapo kwa Shigongo sasa hivi.
We jifiche tu, ukizikwa usiku hata hatutojua. Hope urithi ushaandika.
Sasa unataka nani akutane na izraili?Ugali mtamu ndugu...huu sio umri wa kukutana na izraili...
Sisi wengine hatuwezi kuvaa mavitu puani aisee
[emoji848][emoji848][emoji848]