Nimetimiza miaka 5 Jf bila ban

We jamaa unatukanaga sana nashangaa hawakuoni
 
Kweli hongera yako maana mimi ID yangu nyingne ilivyofungiwa ndo nikasajili hii, na yenyewe kabla haijafika mwezi ikala ban teh teh teh....
 
Nipeni hongera huu mwaka wa 5 JF na sijawahi kupewa warning au ban.

Hongera sana

Sikuwahi kutarajia ban jf ila kuna mtu alinikeraaaaa!!!
Nikasema huyu leo napaa nae liwalo na liwe.
Nilikula ban ila roho ilikua nyeupeee
 
Hongera sana

Sikuwahi kutarajia ban jf ila kuna mtu alinikeraaaaa!!!
Nikasema huyu leo napaa nae liwalo na liwe.
Nilikula ban ila roho ilikua nyeupeee
kweli tunatofautiana kumbe ukila naye sahau roho inabaki nyeupe
 
Kweli hongera yako maana mimi ID yangu nyingne ilivyofungiwa ndo nikasajili hii, na yenyewe kabla haijafika mwezi ikala ban teh teh teh....

kwahiyo hiyo nyingine mpaka leo ni banned?
 
Kuna mtu wanamuita binamu yaani ikipita wiki bila kupewa ban anashangilia
 
Hongera kwa kubadili badili jina la ID yako...

Hilo la Ban sikupi kwa kuwa ni wengi ambao tokea tujiunge hapa hatujawahi tupwa lupango...
 
Duh mimi miaka Sita ban nne tu!! Tena nyingine ni za uonevu mkuu
 
Hongera kwa kubadili badili jina la ID yako...

Hilo la Ban sikupi kwa kuwa ni wengi ambao tokea tujiunge hapa hatujawahi tupwa lupango...

mkuu hongera kama hujawahi kupata ban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…