Nimetimiza ahadi, RIP kadi ya CHADEMA

Nimetimiza ahadi, RIP kadi ya CHADEMA

Nimetimiza ahadi, R.I.P KADI YA CHADEMA.

View attachment 142561

Mimi si kama Mbowe alitangaza hadharani kuwa hachukui gari ka serikali lakini alikwenda kinyere kulichukua,,,ametufanya watanzania wajinga,,,namshukuru mungu kwa kutimiza ahadi yangu, kwa hili nimejitafautisha na Mbowe.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-kwanza-ni-kuipiga-kibiriti-kadi-chadema.html

Njano5.
0784845394.

Wote wasakatonge tu njaa ndo inawasumbua na maslahi binafsi wanafiki
 
Gari la mbowe linakuhusu nini? au ulitaka akuhonge wewe.
Kwanza wewe ni unknown na umeshindwa kutafuta umaarufu nakushauri tumia njia nyingine,unataka wakutangaze wamekufukuza kwenye chama wakati hata hukuwa mwanachama?
 
Heri yako hukusubiri kufukuzwa,maana mfagio wa chuma unaendelea kunapita,
masalia wote wasipoondoka wenyewe lazima waondolewe.
 
Aliyeshindwa kuongoza familia yake mke wake na wtt wamemshinda,hv kweli niende kumpa nchi,nitakua cna akili vzr!RIP CDM
 
Nimekupenda ghafla,kwa uamuzi huu mshauri na kaka yako afute kesi mahakamani mwende njia moja.
 
Gari la mbowe linakuhusu nini? au ulitaka akuhonge wewe.
Kwanza wewe ni unknown na umeshindwa kutafuta umaarufu nakushauri tumia njia nyingine,unataka wakutangaze wamekufukuza kwenye chama wakati hata hukuwa mwanachama?

tatizo ni kwamba hatutaki ubaguzi ndani ya chama, je angetangaza zitto (by then akiwa kiongozi ndani ya chama) kuwa analirejesha serikalini gari analolitumia ili kupunguza gharama na mwisho wa cku hakufanya hivyo ungekuja na maneno haya haya dhidi yake au ungemuita mnafki?!
sasa baadhi yetu tusiowafuasi mambo haya yanatukwaza sana!!
 
Nimetimiza ahadi, R.I.P KADI YA CHADEMA.

View attachment 142561

Mimi si kama Mbowe alitangaza hadharani kuwa hachukui gari ka serikali lakini alikwenda kinyere kulichukua,,,ametufanya watanzania wajinga,,,namshukuru mungu kwa kutimiza ahadi yangu, kwa hili nimejitafautisha na Mbowe.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-kwanza-ni-kuipiga-kibiriti-kadi-chadema.html

Njano5.
0784845394.

Umetoa almasi unachukuwa gololi unacheka kama zuzu kweli mazuzu wengi
 
Ukichoma kadi unafikiri ndio umeichoma CDM? Ulipojiunga ulimtangazia nani? na sasa unamtangazia nani?
 
Its no wonder nchi yetu na watz kwa ujumla tunaendelea kuwa masikini...
 
Ungekuwa kweli ni mwanachama ungeluoia hiyo kadi,otherwise wewe ni masabur..i tu.
 
njoo ACT mkuu. chama makini sana

JF Senior Expert Member Array

Join Date : 12th January 2014

Posts : 2,081

Rep Power : 724
Likes Received238
Likes Given0

Yaani ndani ya siku hizo tu umechangia mara zote hizi. Lazima utakuwa masalia wa Zitto. Maana unaonyesha ni mzoefu ila umebadili tu ID yako. Ndio umetangulizwa kwenda kuandaa rasimu yenu ya ACT? Pole sana.
 
Kwani kuchoma au kutoichoma inasaidia nini? Wacha wenye uchungu na maendeleo ya nchi hii na uchungu na majambazi ya rasilimali za nchi waendelee kupambana
 
Hukwenda Mby? Wenzako kina jb walienda wakalipiwa nauli na posho, kalaga baho
 
Nimetimiza ahadi, R.I.P KADI YA CHADEMA.

View attachment 142561

Mimi si kama Mbowe alitangaza hadharani kuwa hachukui gari ka serikali lakini alikwenda kinyere kulichukua,,,ametufanya watanzania wajinga,,,namshukuru mungu kwa kutimiza ahadi yangu, kwa hili nimejitafautisha na Mbowe.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-kwanza-ni-kuipiga-kibiriti-kadi-chadema.html

Njano5.
0784845394.

Ni kweli wewe si kama Mbowe, wala Mbowe hatakaa awe kama wewe. Ungekua unaijua biblia, ungekumbuka hadithi ya mtoza ushuru na Mfarisayo walipoenda kusali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom