Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Wanabodi,

Huyu mwanamke nipo naye kwenye ndoa for 5yrs sasa na tuna mtoto mmoja.
Kwa kipindi chote nilichokaa naye kuna mambo mazuri ambayo ninajivunia kutoka kwake. Ni mwanamke mwenye vission.

Kwanza ananijali kwa kila hali hasa katika vipindi vigumu kimaisha pili sio mvivu ni mchapa kazi. Ni mwepesi kunisamehe hata na kuniomba msamaha kwa makosa niliyomfanya mimi.

Sasa huwa hanaga tabia za kuwa na wanaume alikuwa mwaminifu kiwango cha kutokumtilia mashaka kabisa. Nilithubutu hata kujisifu kuwa nina mke mwaminifu kwa kipindi chote.

Sasa juzi hapa nilianza kutilia mashaka nyendo zake maana kuna namna alibadilika nikaanza kumfatilia maana alikuwa hakai mbali na simu yake wakati sio kawaida yake.

Juzi kati hapa simu yake ikawa inamsumbua akanipa ni msaidie kuiset si ndio nikaingia inbox, huko nikakutana na SMS za jamaa anamtongoza wife ila wife akawa anamchomolea ila jamaa akawa anang'ang'ania japo inaonyesha jamaa anajua kuwa kaolewa maana wife alimwambia kuwa kaolewa.

Nikaona nisikae kimya nikamchana live kuhusu jamaa, akasema ni kweli jamaa anamtongoza lakini hawezi mkubalia basi nikamchimba biti mbaya na kumwambia akate mawasiliano nae.

Baada ya wiki nikahisi wife huenda bado ana mawasiliano na jamaa nikamuuliza akakataa ila moyo wangu ukawa bado una wasiwasi.

Ili kuilinda ndoa yangu na future ya mtoto wetu nikaamua kuhack WhatsApp ya wife kwa kutumia whatsapp web.

Hapo ndio nilipojuta hata kwanini nime-ihack WhatsApp yake siku ya pili tu baada ya ku ihack nikaona wana-chat live. Na wanatumiana picha, kilichoniuma zaidi ni pale wife alipokuwa anamtumia jamaa picha za nusu uchi.

Roho ilinipasuka kidogo nidondoke ukijumlisha na msg walizokuwa wanatumiana na ilikuwa kila akituma msg ikifika tu anazifuta chap na picha pia nilichofanya nikawa na screen shot mapema kabla hajafuta.

Kufika home nikamuuliza wife akakana baada ya kumzibua na kumwonyesha zile screen shot ndio akakubali.

Nilichokuja kugundua kumbe wife alishaamua kumzawadia jamaa penzi tena cha kusikitisha zaidi kuwa alimpa penzi ile siku ya pili baada ya kutoka kumuonya.

Yaani nimemkataza yeye ndio akaenda kufanya kweli. Ukiangalia wife hamna alichokosa kwangu tunaishi maisha safi anapata kila anachohitaji. Na 6×6 huwa na mkaza mpaka yeye nwenyewe anaridhika na hakuna siku nimemkaza asifike kilimanjaro na huwa ananisifugi sana sekta hiyo.

Wakuu naombeni ushauri wenu maana nimechanganyikiwa. Mpaka sasa nimeshindwa kutoa maamuzi nifanyaje.

Ninachoogopa zaidi ni itakuwaje jamaa akiamua kuzisambaza hizo picha!
Nimeogopa hata kulifikisha kwa ndugu zangu maana naona itakuwa ni fedheha.

Sina wa kunishauri marafiki zangu pia siwaamini sana hapa JamiiForums nimeona ndio kimbilio langu pekee.

Wife nilimfungulia biashara ila nimeifunga kwa muda kwanza.

Naombeni ushauri na sio matusi

Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
pole mkuu,
 
Wanawake jaman had naogopa mda mwingne mtu unawaza bora hata uwe single maisha yako yote. Me nkiona hv vlio vya vjana wenzangu kla siku kwenye mitandao najiulza kama mke upo nae kla siku na anakusalti je mimi ambae npo nje ya nchi na ntakuwa huku mwaka mzma. Mawasiliano yenyewe ndo hvyo mara utaambiwa sim haina charg, mara whatsp cjui imefanya nn.
 
msamehe mkeo maisha yaendelee,
wala usikumbushie tena kilichotokea nyuma
mpende kama ndo mnaanza ,timiza wajibu wako
tena kama baba wa familia ,jitahidi usimkosee ,wahi kurudi nyumbani etc fanya kama hakijatokea kitu mkuu,HUO NDIO UANAMUME,
HIVYO TU
Wewe unaweza mkuu au unaongea tu.
 
Najiuliza mengi nakosa majibu, anyway wengine tutaoa mradi tupate watoto wa damu zetu pekee,
kwasababu kuoa si kumfanya Kiumbe huyu wa kike atulie ndani. Pole sana Mkuu maamuzi ni yako kumfukuza au kumsamehe.

"Supplanter"
Na sasa hivi mkuu wanaume tunalea watoto wengi sio dam zetu
 
Peleleza kwa undani kuna kitu mkeo anapata kwa hilo jamaa zaidi ya kumkaza tuu, labda ww huwa unamfokea, hujui kubembeleza. Udhaifu wako huujui. Nipe namba ya shemeji niongee nae nitakupa mrejesho kulinda ndoa yenu dhidi ya HIV.
 
Mwanzo alikataa akadai bado hajalalanae ila baadae nilipo mbana vizuri ndio akakubali kuwa kasha lalanae.... Akalia sana kama kawaida yao na kuomba msamaha
Anaonyesha kujutia sana alicho fanya ila naogopa ku mwamini
Jamaa nilimpigia simu
Akakana hata kumfahamu wife inshot alijitia uchizi wa kukataa kitu kilicho dhahiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyo mkeo alnogewa ndo maana akawa natuma na pcha za utupu. Hata ukipeleka hl swala kwa wazee hmn atakaekushaur umwache mkeo. Swala kuacha au kusamehe na kuendelea nae n juu yko mwenyewe.
 
Kuna jamaa almfuatlia mke wake akagundua kuna jran anammegea akaendelea kufuatlia had alpodhbtsha kwa macho yake mwenyewe na kibaya zaid alshuhudia mke wake akiingliwa knyume na maumble. Jamaa akarud home akatulia kmya ilpofka usiku nae akahtaj penz kama kawaida mwanamke akampa jamaa akamgeuza nyuma ili amuinglie kinyume na maumble mke akashtuka akamuulza mumewe umeanza lna mchezo huo. Mume akamjbu nataka kufanya kama alvyokuwa anafanya jran huku akmtaja jna leo mchana. Mwanamke altoka mbio na hakurud tena kwa mumewe.
 
Pole sana, huyo jamaa si mtu mzuri. M'mke ni mdhaifu sana ikitokea kuna mwanamme kakomaa na m'mke basi lazima atampata tu, hasa akiwa anajua kucheza na hisia na akili za m'mke.. Hata upite mwaka unakuta kang'ang'ana tu hapo m'mke hata afanyaje atajikuta kaanguka kwenye mtego. Msamehe bure mkeo maana ndio imeshatokea.. Pambana na mgoni wako kwanza
 
Nikigundua kanisaliti ntafanya Fiesta, maana utakuwa muda mwafaka na mimi kufungulia mbwa.
 
Kwanza kabisa mimi nna simu yangu natumia pia kwa whatsapp web.

Ina umbali maalum kama mfano mita 6-10 labda ndo inakua ina detect simu inayotumika.

Ambacho sijaelewa umetumiaje whatsapp web ofisini na mkeo yuko nyumbani?
 
Pole sana, huyo jamaa si mtu mzuri. M'mke ni mdhaifu sana ikitokea kuna mwanamme kakomaa na m'mke basi lazima atampata tu, hasa akiwa anajua kucheza na hisia na akili za m'mke.. Hata upite mwaka unakuta kang'ang'ana tu hapo m'mke hata afanyaje atajikuta kaanguka kwenye mtego. Msamehe bure mkeo maana ndio imeshatokea.. Pambana na mgoni wako kwanza
Apambane na mgoni wake kvp, mwanamke kutongozwa Ni haki yake kisheria, na mwanaume kutongoza Ni haki yake kisheria, kukubali au kukataa Hilo Ni suala binafsi la mtoto wa kike, mwenye makosa aliyekubali....kwangu Mimi sijawahi kuacha mke kwa kugundua suala hili Bali huchunguzaga changamoto kutokana na tukio Hilo pasipo kusahau sisi Ni binadamu viumbe wa mwisho kuumbwa ktk viumbe wote walioumbwa na Mungu baba, na viumbe tulio na madhaifu yetu, utawaacha wAngapi walio binadamu kamili, nilimsamehe na maisha yanaendelea, mbona Mimi nawagongeaga jamaa siku moja moja wake zao, kwani wao hawana moyo sema wanakuwa hawajui...tupende kusamehe na Mungu atatunyooshea yetu...
 
Dunia ishaharibika ivo huwez mzuia mtu kutofanya dhambi labda aamue mwenyewe
 
We jmaa usipoteze nguvu na akil kwa jambo hili ebu itune akil yko vzr je unavyozan ww ktk ndoa mtaweza kuish zaid ya miaka yenu yote bila kusalitiana ebu fikir vzr km unaona haitawezekana bx ebu mkanye then take easy na ww tafta huko kamua kmyakmya life liende hakuna aliyemkamilifu ndg yng utaacha huyo utadhm ndo suluhu kumbe utapoteza zaid
 
Kwanza kabisa mimi nna simu yangu natumia pia kwa whatsapp web.

Ina umbali maalum kama mfano mita 6-10 labda ndo inakua ina detect simu inayotumika.

Ambacho sijaelewa umetumiaje whatsapp web ofisini na mkeo yuko nyumbani?
Watu wanadetect n nchi mpaka nchi. Nkiwa Indonesia jamaa aliihack simu ya demu wake Comoros Ila kuna kulipia hiyo huduma
 
Pole mkuu kwa yalio jiri,ila hekima na busara inahitajika na pia ukiwa kama mwanamme nnaimani umehimili maumivu ya moyo mengi, wanawake ndio sisi na binadamu ndio sisi hakuna mkamilifu, kwanza jiulize je wewe tangu ulipokua nae ushawahi kumsaliti? umesema kua ni mwepesi kuomba msamaha pindi anapokose hata kama umekosa wewe yeye ndio anakuomba msamaha na naamini hii ndio mara yako ya kwanza kumkuta na kosa hili sisemi kua nirahisi ukimuona mpenzi wako ana Cheat ukafumba macho na kuanza upya utakua na maswali mengi yakumuliza kwanini amefanya alivyo fanya nini kilipungua,jee haridhiki na penzi lako au umeongeza few kgs huzungushi au hugongi kama mwanzo yote hayo na mengine mengi ila jibu litakua mume wangu nisamehe shetani alinipitia, nna hakika wewe ni muungwana na unataka ndoa yako iendelee,chakufanya muite mkeo kaanae chini muongee kabla hujaenda kokote akujibu kila unalotaka kumuliza,ila mwisho wa siku moyo wako ndio utaamua kama umeridhika au laaa,
kwa upande wangu ukitaka advice nadhani anastahili kupewa nafasi ya pili na huenda akabadilika,na wewe mume pia usisubiri kusifiwa kwamba uko vizuri kitandani kuna times hata mume hakufikishi ila unauliza vipi game yangu unaionaje haiwi sawa kumwambia sio yenyewe unasema uko vizuri mume wangu na hii ya leo imenitosha week2 staki tena kumbe walaa sema wanawake tumeumbiwa kuridhika,na kustahmili haimanishi ndio wewe mume kisa nimesema its enough for two weeks ndio unanipa mgongo,ebu jaribu tena uone kama sito ichekelea..
Mh! Hapo kwenye kuichekelea tu
 
Muombe mungu akupe amani ya moyo ukipanic jela itakuhusu na umesikia mziki wa jela zama hizi .
 
Back
Top Bottom