Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

Acha upumbavu wewe huna lolote kwanza umekosea sana kwa yafuatayo
1 ni kosa kubwa kupekua simu ya mkeo mchumba etc
2.wewe inainyesha ni mdhaifu sana mwanaume rijali hawezi kuja kujisifia kuwa ana fanya mapenzi na mkewe hadi kumfikisha umejuaje na sisi tutajuaje na kama ulikuwa unamridhisha ilikuwa je hadi kakusaliti
3.wewe una wivu wa kupindukia na mtu mwenywe wivu kamwe huwezi kumridhidha mwanamke na yeye akisha kukugundua hawezi kukupenda tena kwani unajua wewe ni mdhaifu
4.huyo mwanamke tayari kaonja nje na amekuta vitu vitamu kuliko vyako mwili ni wake na wewe una mwili wako hivyo fuata mambo yako acha kumchunga binadamu mwenzako ulichemsha kupekua simu ya mke wako mnunulie underwear ya chupa tia kofuli kama una jeuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo utakuwa umemmegea mkewe

NO 3!OMG
 
Una mke? Kama unae sawa! Dunia inavioja! Unakuta hata anemchepusha mke wa mtu na yeye mke wake au demu wake anachepushwa! Akipewa huyo mwanamke nayeye anaweza t. ombewa na wengine!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha upumbavu wewe huna lolote kwanza umekosea sana kwa yafuatayo
1 ni kosa kubwa kupekua simu ya mkeo mchumba etc
2.wewe inainyesha ni mdhaifu sana mwanaume rijali hawezi kuja kujisifia kuwa ana fanya mapenzi na mkewe hadi kumfikisha umejuaje na sisi tutajuaje na kama ulikuwa unamridhisha ilikuwa je hadi kakusaliti
3.wewe una wivu wa kupindukia na mtu mwenywe wivu kamwe huwezi kumridhidha mwanamke na yeye akisha kukugundua hawezi kukupenda tena kwani unajua wewe ni mdhaifu
4.huyo mwanamke tayari kaonja nje na amekuta vitu vitamu kuliko vyako mwili ni wake na wewe una mwili wako hivyo fuata mambo yako acha kumchunga binadamu mwenzako ulichemsha kupekua simu ya mke wako mnunulie underwear ya chupa tia kofuli kama una jeuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoooo asante sana mkuu kwa ushauri wako murua kabisa
Na mungu akubariki sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee wazo lako la ajabu Sana... Fikirisha ubongo vzur Mkuu... Hawa viumbe Wana techniques za hatari... Kumnyima simu wakati haushindi nae kutwa nzima??

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikwambie mwanamke hawezi kuwa na teckink ya kukuzidi wewe hata siku moja labda we hujielewi we ni nani yaani mwanamke akuzidi akili basi wewe sio mwanamume mwanaume hashindwi league akishindana na mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom