Nimetengeneza App ya kumsaidia mtoto katika mathematics

Nimetengeneza App ya kumsaidia mtoto katika mathematics

Ouk basi kama ikwezekana nitumie hata kwenye email hizo setup za hiyo app (isayaexavery@yahoo.com) niicheki. Kuusu application nyingine nilizotengeneza ni hizi
1. Akili Test - Ipo playstore Bofya link hii ku-download- Akili Test - Android Apps on Google Play

2. Cards Memory Test - Ipo playstore bofya link hii - Cards Memory Test - Android Apps on Google Play

OK nitazicheki pia ntakutumia na source za hiyo yangu.Mimi nimetengeneza app ndogo nyingi kama kubadili namba(base 10) kuwa binary pia kuna ya kubadili namba(binary)kuwa base 10.Application nyingine niliyotengeza ni ya kutafuta namba tasa zilizopo kati kuanzia namba Fulani mpaka namba Fulanihizi
Hivi ni viprogram vidogo sana Ila ninazo kubwa kama car rental management system,pia ninayo inayobadili maandishi ya kawaida kuwa cypher na cypher kurudi maandishi ya kawaida.
Pia nimetengeneza program 3 ambazo ni secret hizi ni kwa ajili yangu tu kunisaidia kukusanya taarifa kuhusu.......
katika hizi 3 moja ndio namalizia bado kuimplement facility ya kusearch information.Mimi huwa natumia VB kwenye implementation
 
Ouk sawa mkuu! Na inaonenakana upo vizuri aisee!!
 
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] Naona kuna Shule hapa ngoja niSubscribe Uzi ili nisipitwe
 
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] Naona kuna Shule hapa ngoja niSubscribe Uzi ili nisipitwe
 
JIFUNZE PROGRAMMING

TULIANZA HUU MWEZI WA 4 SMS telegram au WhatsApp hii namba nikuunge 0762612213

Hello there. Today we are officially launching public programming classes. Teaching will be conducted by using LiveChat: http://livechat.***.com, and anyone is welcome to volunteer to teach any programming language: https://forums.***.com/computer-science-it-hardware-software-5/. There is a WhatsApp group: Computer Programming and a Telegram group: Join group chat on Telegram where all organizations about the upcoming public classes are taking place. Two persons have already volunteered to teach Java programming from ground up and more will join soon!

You're all invited to join. Welcome, teach others, make your knowledge global and effect a lasting change!

Updates:

Java programming class is starting today: Friday, April 7, 2017 at 8.00 PM (20 Hours) East Africa Time (EAT). The today's lessons will be:

1. Computer languages
2. Compilers
3. Computer software and hardware

Stay tuned!

All updates regarding programming classes will periodically be posted at https://forums.***.com/public-programming-classes-coming-soon-5447#p15202
 
Hongera sana,zidi kuongeza ubunifu kuweza kupiga hatua
 
Kuna wakati nilikua nikiwaza juu ya kutengeneza kitu sana sana katika swala la Elimu. Sasa nimefanikiwa kutengeneza app like game inaitwa Endless mathematics quiz, ni app ambayo nimeiweka playstore itamchangamsha mtoto wa primary au o level katika hesabu za msingi (basic math) kwa kumpa hesabu za kujumlisha,kutoa na kuzidisha kwa sekunde mbili za kufikiria ili aweze kutoa jibu.

Mtu anaweza akapata maswali mengi awezavyo ila akikosa hapo ndipo game over na kuonyeshwa amepata ngapi.

Kwa mtoto huchangamsha akili na kwa mkubwa pia it`s so fun to play. Click link hapa chini ikupeleke playstore kudownload Endless Mathematics Quiz na pia naomba feedback nini cha kuboresha

Endless Mathematics Quiz - Android Apps on Google Play

ONGEZEKO/MABORESHO
Kutokana na mawazo ya watu kuusu hii app katika swala la muda, sasa muda umeongezwa hadi sekunde 3. Ila maswali 10 ya kwanza mtu atatakiwa kufikiria kwa sekunde 5 yanayofuata 10 (yaani 11 hadi 19) ni kufikiria kwa sekudne 4 na yanayoendelea kwa sekunde 3.

Pia imeongenzwa option ya kuweza kuangalia kumi bora (top 10) ya record ambazo umeweza kupata, yaani mfano kama umecheza mara 100 basi mara 10 ambazo umeweza kupata maksi nyingi zitarekodiwa
Kwanza Hongera sana kwa kazi nzuri na Bora.
Mimi ni mwanzili wa Tanzania Mathematics Club -T.A.M.C ; www.facebook.com/Tanzaniamc , //tanzmc.wordpress.com : account yangu fb ni www.facebook.com/anthony.elias104
NINAOMBA TUSHIRIKIANE
Ahsante.
Anthony Bujingwa Elias
Mwazilishi TAMC
0758874147
anthonye.ae78@gmail.com
 
Back
Top Bottom