Nimetendwa

Nimetendwa

Nyamiobo

Member
Joined
Aug 3, 2011
Posts
10
Reaction score
1
Jamani mwenzenu nahitaji faraja ya mwanamke wa kuniliwaza. Nimetendwa na mke wangu
 
Ndo namtafuta, nafikiri kutoka jukwaa hili naweza mpata mwanamke mzuri na mkweli
 
na wee mtende mke wako by haaving threesome na huyo jamaa aliyemgegeda...sii anataka dushelele zote mbili bwana...so mpe anachotaka
 
rekebisheni tofauti zenu muendelee na maisha.........Mwanamke wa pembeni wa kukutuliza sio solution kabisa.....
 
Jamani mwenzenu nahitaji faraja ya mwanamke wa kuniliwaza. Nimetendwa na mke wangu
Umetendwa nini na mkeo?Wakati unaenda kuoa hukufunzwa namna ya kufanya inapotokea matatizo katika familia yako?
Ukitafuta wa kukuliwaza ndio maumivu yako ya kutendwa yataisha?
Tulia mwanaume mwenzangu na fanya mambo ya ujasiri kwa kuchukua hatua stahili.
 
Sasa kama mkeo tu anakushinda wa nje utawawezea wapi...be a man!!!
 
kaka mademu wa nje ni pasua kichwa sana...mke ni rahisi kumcontrol!!!

mi bana nikiwa nahamu nahit na kurun kuhandle demu it is too expensive, unagongomeka unampa chake unasepa na namba yako unafuta kwake asije akakusumbua tena
 
Sasa huyu kaka mkubwa hapa anaonekana anatafuta KIDUMU na JF ndio kaona ni windo lake rahisi kupata wa kuweka kambi...

mi bana nikiwa nahamu nahit na kurun kuhandle demu it is too expensive, unagongomeka unampa chake unasepa na namba yako unafuta kwake asije akakusumbua tena
 
Back
Top Bottom