Nimetendwa

Nimetendwa

kupata mwanamke mwingine sio faraja tafuta suluhisho la ndoa yako huko unakokimbilia ndio kuongeza tatizo
 
"Ukienda kisimani beba ndoo na kidumu, ndoo ikianguka unatumia maji ya kwenye kidumu kuosha ndoo":shut-mouth:
 
Jamani mwenzenu nahitaji faraja ya mwanamke wa kuniliwaza. Nimetendwa na mke wangu

Kutendwa na mke ni udhaifu mkubwa sana kama mwanaume!!! Na mpaka mwanamke akutende ni lazima utakuwa ulianza kumtenda na kwa sasa analipiza kisasi!!! Kisasi cha mwanamke ni kibaya sana usiombe kikufike!!! Na wakienda wanaenda jumla!! Si kama sisi ambao tunaweza play mechi mbili na refa asifahamu kuwa umesajiliwa team mbili!!
 
Jamani sasa naamini kuwa wanaume ni wachache sana hapa TZ, wengi wa-kiume tu!!
 
Ha ha ha Kongosho.. hii ni nyepeci kupiliza.. halafu iko katika form ya heavy liquid.. halafu ina vionjo vya ziada.. Achana na kuwashauri waje na vaselline bana...

Ina analgesic effect pia......kwahiyo kitu kikifa ganzi unapiga mashine muda km wewe ni mziwa wa under 5 minutes.....ila wale wazee wa heavy duty ,utaua mtoto wa watu.
 
Kama kweli umetendwa pole sana!
Fanya utaratibu wa kumuacha ndio utafute mwingine!
Lakini mwingine si suluhu la kutotendwa tena! Jaribu kujitazama!

Jamani mwenzenu nahitaji faraja ya mwanamke wa kuniliwaza. Nimetendwa na mke wangu
 
pole,tafuta decent girl this time ujue historia ya unayemuoa sio unaokota tu,ila na wewe jichunguze nini kilichompelekea mwenzio kwenda nje labda mbahili :becky:
 
Back
Top Bottom