Nimetendwa

Nimetendwa

kama ulijua ni safe yanini ulioa

unajua kuna sababu nyingi zinazo sababisha mtu aoe wengi wanaoa ili wapate heshima katika jamii wengine wanaoa kwa kuiga flani kaoa ngoja na mm nioe wengine wanaoa kwa ajili ya kupikiwa na kufuliwa wengine wanaoa kwa vile hawana mlinzi wa nyumba n.k
 
basi usilalamike kama umeumizwa kumbe wewe ulioa kwa ajiri ya kutendwa safi sana
 
MADOMO ZEGE utawajua tuu, ww kama kweli umetendwa mbona hujaandika jinsi ulivyotenda ili w2 2weze kukusaidia kiushari? Na 2tajuaje kama ww ndiye uliyekuwa chanzo cha kumshawishi MKEO akutende? Kwenda zake ww ungesema unatafuta M2 Kwani Mdomo wko bado Umejaa ZEGE hapo Sawa,.
 
that will give you fun and not happiness. fun will be so temporal, it it will not solve your problem.
 
Ndugu yangu mtafute mamako aliyekukea atakupa faraja ya kwel..pole xana
 
Back
Top Bottom