Nimetendwa

Nimetendwa

Umetendwa nini na mkeo?Wakati unaenda kuoa hukufunzwa namna ya kufanya inapotokea matatizo katika familia yako?
Ukitafuta wa kukuliwaza ndio maumivu yako ya kutendwa yataisha?
Tulia mwanaume mwenzangu na fanya mambo ya ujasiri kwa kuchukua hatua stahili.
Joseph napenda sana namna yako ya kufikiri
 
Last edited by a moderator:
Njoo nikuliwaze
Ila hapa hapa sredini

KAma unataka chumbani, andaa vaseline
ahhhahahhahahhahhah konniiiie mbavu zazngu mie!
sasa vaseline umesikia ameoga maji ya cement?uuuuuwih akili yako kama sio bhangi basi umechukua kokoto thn ukaweka humo kichwani yailahi!lol watu8 njoo uchukue mtu wako huku sijui anataka kufanya nini na hiyo vaseline na baba wa watu!lol
 
Last edited by a moderator:
Kwa machungu aliyonayo papai na fenesi atayasambaratisha ajikute kashka bidhaa zake kwa mikono yake

Anafaa boga, gumu kusambaratika

au aende kwa mangi akapate fenesi au kitu cha papai....kama yule wa sex toys!!!
 
Ujue huwa nashauri kulingana na swali

Ni kama daktari, anatoa dawa kulingana na ugonjwa

ahhhahahhahahhahhah konniiiie mbavu zazngu mie!
sasa vaseline umesikia ameoga maji ya cement?uuuuuwih akili yako kama sio bhangi basi umechukua kokoto thn ukaweka humo kichwani yailahi!lol watu8 njoo uchukue mtu wako huku sijui anataka kufanya nini na hiyo vaseline na baba wa watu!lol
 
Hiyo inaleta kansa, afu bei kweli sijui elfu kumi

Wakati vaseline kwa Mangi sh250 tu 🙂

Acha kututisha Kongosho.. Hizo habari za kusababisha kansa umezipata wapi bana..? Ujue users ni wengi sana wa ile kitu.. Halafu bei yake ni buku saba.. Vaselline ina uzito fulani hivi kama yale mafuta ya kuendeshea mitambo ya iptl..
 
Kwani huku JF kuna vicheche wa kuwaliwaza walioshindwa kwenye ndoa zao?. Hapa wapo watu na maisha yao, tafuta pengine na umuogope Mungu. Usikimbie matatizo bali unatakiwa uyakabili wewe na mke tu.
 
Faraja bora zaidi ni yamkeo nakama kakutenda.... Akutendae mtende nawewe...!!
Napia jichunguze wewe mwenyewe kutokana na vitendo vyako pengine ulianza wewe kumtenda ndio Yeye akamalizia....!!
Sababu mtenda akitendewa... huona kaonewa...!!
 
Sasa huyu kaka mkubwa hapa anaonekana anatafuta KIDUMU na JF ndio kaona ni windo lake rahisi kupata wa kuweka kambi...

akale mingo kwenye madangulo hapa hanasi mtu hapa
 
So hiyo nyepezi kama mafua ya asili?

Back
Top Bottom