Nimetendwa

Nimetendwa

Tuliza akili ndugu bado asubuhi sana, kama unafikiri kupata mwanamke umesolve tatizo sasa kuna TAKE AWAY kila junction nenda kajichukulie. To me sifikiri kama njia unayotumia itakusaidia zaidi unataka kumaliza maisha yako kwa jumla na mwisho utajuta. Kaa chini tafakari yaliyokusibu na useme na moyo wako kama bado kuna chembe ya msamaha imesalia then ufanye maamuzi kama mwanamme.
 
Jamani mwenzenu nahitaji faraja ya mwanamke wa kuniliwaza. Nimetendwa na mke wangu

Tatizo halikimbiwi wala halimaliziki kwa kujaribu kutafuta refuge kwingine.. Suppose wewe ndo mwenye matatizo..? Will u keep on running away..? Kaa chini uli-solve tatizo.. vinginevyo u'll end up alone meeen..!
 
acah uchizi,, au unataka kumtenda kumbe unaenda kutafuta wadudu utendewe wewe...... be a man
 
kaka hiyo co solution N.B ukiona umetendwa jua kuna m2 kapendwa na ukiona umependwa jua kuna m2 katendwa.
 
Kwa hiyo na wewe unatafuta wa kumtenda?njoo kwangu tutendane
 
usifanye hivyo.... rekebisha tofauti zenu bana....
 
Jamani mwenzenu nahitaji faraja ya mwanamke wa kuniliwaza. Nimetendwa na mke wangu
Nyamiobo pole sana. Lakini unafikiri ukipata bibie wa kukuliwaza ndo utakuwa umesolve hayo yaliyojiri kwenye mji wako????

Jipange tena rafiki, bora ungekuja na post ya kuomba msaada wa mawazo na sio hii.

Warembo utawapata sana but utakuwa umekoka moto wa kuteketeza nyumba yako.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
MWISHO WA YOTE NI KUPEANA UKIMWI NA kuACHA WATOTO WAKIHANGAIKA! PIGA GOTI NA UOMBE MUNGU AMANI NDANI YA NDOA IRUDI!
 
Mhhm mke wako ana zini na wewe bado unasema mke wako.

Wanawake wegine kweli wameolewa na myanaume mibwege.
 
Kutendwa atendwe mwananchi, akitendwa police kaonewa.
Pole kaka ila kutafuta mwanamke sio solution kaa kitako na mkeo muyazungumze
 
Back
Top Bottom