Nimetendwa jamani

Nimetendwa jamani

Usijali mamii utampata wako waukweli ipo siku...pande zote wapo watu majeruhi wa mapenzi, tuliza kichwa uyapata wako wa milele
 
kila unapotaka kulia tena kwa ajili yake fikiria kwamba unazd kumpa jeuri kwa kukuacha(unampa kichwa), we ni mwanamke jasiri hukumtegemea yeye apo kabla na mthibitishie kama ata sasa haumuhtaj kiivyo... mfanye ajutie kukuacha!! Fanikiwa zaidi

hilo la msingi sana..umesema
 
Wewe sio wa kwanza, sio wa mwisho pia.
tafuta kitu cha maama cha kuombolezea.
 
Hapo umetendwa nini sasa.....
Kuachwa ni kutendwa?
Maisha yasonge....alifanya sahihi kukuacha....badala ya kuendelea kukudanganya
 
Heeee achana nae tena tafuta mwanaume anaemzidi kila kitu umkomeshe na umringie,tena we ndio ujifanye haumjui kabisaaa
 
Mimi ni msichana nilitokea kumpenda kijana mmoja sana kiasi ambacho sikuwahi kuhis kama naweza kuishi bila yeye but yamenikuta,kuanzia valentine asubuhi alinitumia sms ananipenda sana ila anaondoka anaenda huko vijijini kuna project anafanya since that day hajapatikana mpaka leo,nikaona nimuulize rafiki yake ananiambia mbona kabadilisha namba na hataki nimpe mtu,nimelia usiku mzima sijalala naumia jamani hata nashindwa kufanya kazi

Hiyo ni kuteleza tu binti........nyanyuka......kung'uta vumbi......endelea na safari.........njia mbona bado ndefu........ulipotoka ni karibu mno.........kuliko unapokwenda..........
 
Huyo ni coward! Angekuwa rijali angekuface akwambie. Baada ya muda maumivu yataondoka na utajiuliza ilikuwaje ukampenda huyo
Mwanaume suruali. Stay calm.
 
Pole sana ila jipe moyo utampata mtu sahihi. Maisha bado yanaendlea hata pasipo yeye
 
inauma sana bt ipo siku utamsahau na kujilaumu sana ulikuwa umaumia nini....
 
Binti ukilia hujasolve tatizo kwa kumtumia rafiki yake utajua hatma yoko.

afu kwan huyo mwanaume anatatizo la kutojiamin hv hawez kuachana na mwanamke kiroho safi tu?? nadhan angekwambia ukwel kubadilisha no, sio sln

umeona shoga yangu weee wanaume majanga....tujitahidi tusiwakabidhi mioyo yetu cos wanatuumiza kila uchao jaman

asilie tna jipe moyo songa mbele shosti yetu
 
Hapo umetendwa nini sasa.....
Kuachwa ni kutendwa?
Maisha yasonge....alifanya sahihi kukuacha....badala ya kuendelea kukudanganya

Shangaa na wewe ndugu yangu!
 
  • Thanks
Reactions: RR
maisha lazima yaendelee usije ukawaza kujiua mdogo wangu
 
Hili ndilo kosa nambari moja wafanyalo baadhi ya wanawake wawapo kwenye mahaba...hukabidhi mioyo yao kwa wanaume.

Amka kutoka katika usingizi uliolala eeh binti

Kumkabidhi mtu moyo,haulazimishwi na wala haupend,inatokea tu my dia,na unakua umempenda kisawasawa lakn haimaanishi hauwez kuishi bila yeye{si kwel maana yeye si damu} sema tu kunakipind unakua unamkumbuka sana na unataman ungekua nae,na pengne inakuwia vigumu kumpenda mtu mwngne kama ulivompenda yeye
 
Kwakwel nashukuru sana wana jf naamin I will survive
 
Mimi ni msichana nilitokea kumpenda kijana mmoja sana kiasi ambacho sikuwahi kuhis kama naweza kuishi bila yeye but yamenikuta,kuanzia valentine asubuhi alinitumia sms ananipenda sana ila anaondoka anaenda huko vijijini kuna project anafanya since that day hajapatikana mpaka leo,nikaona nimuulize rafiki yake ananiambia mbona kabadilisha namba na hataki nimpe mtu,nimelia usiku mzima sijalala naumia jamani hata nashindwa kufanya kazi


Naona hadi umejiunga JF kumuandikia Uzi,,,haikuwa ridhiki yako hiyo fanya mambo mengine na si kila uhusiano lazima ndoa, uhusiano mwingine ni Tuition tu ili ufanye vizuri kwenye ndoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom