Nimetendwa jamani

Nimetendwa jamani

Mm ni mschana nilitokea kumpenda kijana mmoja sana kias ambacho ckuwah kuhis km naweza kuish bila yy bt yamenikuta,kuanzia valentine asubuh alinitumia sms ananipenda sana ila anaondoka anaenda huko vijijin kuna project anafanya since that day hajapatikana mpaka leo,nikaona nimuuliZe rafik yake ananiambia mbona kabadilisha namba na hataki nimpe mtu,nimelia usiku mzima cjalala naumia jaman hata nashindwa kufanya kaz

Tangu valentine's day mpaka leo uko hai ujue maisha bila yeye yanawezekana,ishi maisha yako mamy na wala usijisumbue kuitafuta hiyo namba mpya.
Kuna siku isiyo jina atakuja tu ajifanye amemaliza project za huko vijijini hapo ndio uhakikishe unampa za uso na mkono wa kwa heri juu!!
Likuepukalo una heri nalo
 
Ndio maana watu fulani kule Pwani wanaamini katika falsafa ya 'mafiga matatu'
Siku zote wewe una tabasamu tu.
Figa moja likizingua mawili yanakusapoti huku ukitafuta mmbadala wa lililolegea.
* Donti trai iti ini zisi era lakini-Lols! Ni kamfano tu.
 
Acha kuhangaika humu ndani tunatafuta hatujapata kama vipi nitafute.
 
Ninamahusiano nae km four years na kinachoniumiza cjui kosa nn na kwann hajasema chochote labda nimemuuz
 
The feeling am having I can't stop crying I just know anymore
 
mhhh project haijaishaaa ikiiishaa ataktafuta wekeza kwingine na ww uanze project maishaaaaaaaaa ndo hiyoooo
 
Kwanza nikupe pole kwa yaliyokupata,
U did nothing wrong kumpa moyo wako wala kuwa naye. Hiyo hutokea kwenye maisha. Yes it hurts so much now na face ur pain now.
One morning u will wake up and all that pain will be gone n u will be happy again with new hopes and plans. U will see all this as a bad business u once did.
 
Mm ni mschana nilitokea kumpenda kijana mmoja sana kias ambacho ckuwah kuhis km naweza kuish bila yy bt yamenikuta,kuanzia valentine asubuh alinitumia sms ananipenda sana ila anaondoka anaenda huko vijijin kuna project anafanya since that day hajapatikana mpaka leo,nikaona nimuuliZe rafik yake ananiambia mbona kabadilisha namba na hataki nimpe mtu,nimelia usiku mzima cjalala naumia jaman hata nashindwa kufanya kaz

Mmhh. .....Unauhakika gani kuwa kabadilisha namba? Na kwa ninj uwe mwepesi wa kumwamini saana huyo rafikiye kuliko yeye binafsi? Kama ingetokea ukamuona mitaani,hapo ungekuwa na la kisema na kulaumu.

Role NO. 1: NEVER TRUST ANYONE EXCEPT YOURSELF.

Kaa na hiyo kichwani mtoto wa kike,uitumie kulingana na nyakati na mazingira.
 
Ninamahusiano nae km four years na kinachoniumiza cjui kosa nn na kwann hajasema chochote labda nimemuuz

first hand data source is always the best...fanya namna uonane nae..umalize dukuduku lako...tokea hapo utajipanga..
 
Hii inaweza kukusaidia.
 
Attachments

  • new beggining.jpg
    new beggining.jpg
    20.2 KB · Views: 164
Ninamahusiano nae km four years na kinachoniumiza cjui kosa nn na kwann hajasema chochote labda nimemuuz

Hilo ndio darasa la mapenzi,unatakiwa uyasome mapenzi then uyashinde ukishajua hivyo hakuna kumlilia mtu
 
Mm ni mschana nilitokea kumpenda kijana mmoja sana kias ambacho ckuwah kuhis km naweza kuish bila yy bt yamenikuta,kuanzia valentine asubuh alinitumia sms ananipenda sana ila anaondoka anaenda huko vijijin kuna project anafanya since that day hajapatikana mpaka leo,nikaona nimuuliZe rafik yake ananiambia mbona kabadilisha namba na hataki nimpe mtu,nimelia usiku mzima cjalala naumia jaman hata nashindwa kufanya kaz

Kwanza kwake hupajuhi,Familia yake hujui? Kwa nini usimtafute baada kumuamini huyo rafiki yake
 
Au ndiye niliyenae mie, maana nilimpata siku ya valentine day na yy alibadilisha namba..

Kama ndiye huyu sahau tu..
 
Yuko mbali mm niko mkoa mwingine na yy yuko mkoa mwingine
 
....nimelia usiku mzima cjalala naumia jaman hata nashindwa kufanya kaz

Pole sana dadangu,kwakweli huwa naumia sana mwanaume anapomtenda vibaya mwanamke bila sababu ya msingi.

Nakushauri achana nae na jaribu kumsahau na naamini utapata mwanaume mwaminifu.
 
Mimi ni msichana nilitokea kumpenda kijana mmoja sana kiasi ambacho sikuwahi kuhis kama naweza kuishi bila yeye but yamenikuta,kuanzia valentine asubuhi alinitumia sms ananipenda sana ila anaondoka anaenda huko vijijini kuna project anafanya since that day hajapatikana mpaka leo,nikaona nimuulize rafiki yake ananiambia mbona kabadilisha namba na hataki nimpe mtu,nimelia usiku mzima sijalala naumia jamani hata nashindwa kufanya kazi

Nenda kamtafute kwake,anakuwa mpenzi wako halafu hujui anakaa wapi?

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Mimi ni msichana nilitokea kumpenda kijana mmoja sana kiasi ambacho sikuwahi kuhis kama naweza kuishi bila yeye but yamenikuta,kuanzia valentine asubuhi alinitumia sms ananipenda sana ila anaondoka anaenda huko vijijini kuna project anafanya since that day hajapatikana mpaka leo,nikaona nimuulize rafiki yake ananiambia mbona kabadilisha namba na hataki nimpe mtu,nimelia usiku mzima sijalala naumia jamani hata nashindwa kufanya kazi
Salula kwani huyo kama ndiye mwanaume wako wa kwanza? Mbona umesikitika sana, ulishamvulia nguo ya ndani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom