Nimetendwa jamani

Nimetendwa jamani

Mimi ni msichana nilitokea kumpenda kijana mmoja sana kiasi ambacho sikuwahi kuhis kama naweza kuishi bila yeye but yamenikuta,kuanzia valentine asubuhi alinitumia sms ananipenda sana ila anaondoka anaenda huko vijijini kuna project anafanya since that day hajapatikana mpaka leo,nikaona nimuulize rafiki yake ananiambia mbona kabadilisha namba na hataki nimpe mtu,nimelia usiku mzima sijalala naumia jamani hata nashindwa kufanya kazi

Kapime ngoma pia!
 
Maskini wee! Pole mwaya!ndo ukubwa huo! Haya amka hapo na usonge mbele !!
 
Mimi ni msichana nilitokea kumpenda kijana mmoja sana kiasi ambacho sikuwahi kuhis kama naweza kuishi bila yeye but yamenikuta,kuanzia valentine asubuhi alinitumia sms ananipenda sana ila anaondoka anaenda huko vijijini kuna project anafanya since that day hajapatikana mpaka leo,nikaona nimuulize rafiki yake ananiambia mbona kabadilisha namba na hataki nimpe mtu,nimelia usiku mzima sijalala naumia jamani hata nashindwa kufanya kazi

asiyefanya kazi na asile
 
Tuliza akili, angalia wapi kuna tatizo, kama vipi mtafute muongee. Ukiona hamna fiucha basi tulia kwa mda then Mungu ataleta mwingine, huyu hatakuwa wa kufanya nae ngono, bali mtaoana ili mfurahie maisha ya unyumba.

Kama atatokea JF kuwa muangalifu.
 
kila unapotaka kulia tena kwa ajili yake fikiria kwamba unazd kumpa jeuri kwa kukuacha(unampa kichwa), we ni mwanamke jasiri hukumtegemea yeye apo kabla na mthibitishie kama ata sasa haumuhtaj kiivyo... mfanye ajutie kukuacha!! Fanikiwa zaidi
 
Mimi ni msichana nilitokea kumpenda kijana mmoja sana kiasi ambacho sikuwahi kuhis kama naweza kuishi bila yeye but yamenikuta,kuanzia valentine asubuhi alinitumia sms ananipenda sana ila anaondoka anaenda huko vijijini kuna project anafanya since that day hajapatikana mpaka leo,nikaona nimuulize rafiki yake ananiambia mbona kabadilisha namba na hataki nimpe mtu,nimelia usiku mzima sijalala naumia jamani hata nashindwa kufanya kazi

usimlilie asie kulilia we ni PM mimi nitaziba hako kapengo kake mbona kadogo tu
 
Mimi ni msichana nilitokea kumpenda kijana mmoja sana kiasi ambacho sikuwahi kuhis kama naweza kuishi bila yeye but yamenikuta,kuanzia valentine asubuhi alinitumia sms ananipenda sana ila anaondoka anaenda huko vijijini kuna project anafanya since that day hajapatikana mpaka leo,nikaona nimuulize rafiki yake ananiambia mbona kabadilisha namba na hataki nimpe mtu,nimelia usiku mzima sijalala naumia jamani hata nashindwa kufanya kazi

Usikate tamaa kwa mambo yasiyo na msingi. Jipange bi dada maisha yana changamoto nyingi.
 
Mimi ni msichana nilitokea kumpenda kijana mmoja sana kiasi ambacho sikuwahi kuhis kama naweza kuishi bila yeye but yamenikuta,kuanzia valentine asubuhi alinitumia sms ananipenda sana ila anaondoka anaenda huko vijijini kuna project anafanya since that day hajapatikana mpaka leo,nikaona nimuulize rafiki yake ananiambia mbona kabadilisha namba na hataki nimpe mtu,nimelia usiku mzima sijalala naumia jamani hata nashindwa kufanya kazi

Endelea kulia ukidhani atarudi. Jipe moyo move one, hujazaliwa nae
 
Sijui kuna ukurasa mwingine aliuanza ile siku ya valentino?????
 
Mimi ni msichana nilitokea kumpenda kijana mmoja sana kiasi ambacho sikuwahi kuhis kama naweza kuishi bila yeye but yamenikuta,kuanzia valentine asubuhi alinitumia sms ananipenda sana ila anaondoka anaenda huko vijijini kuna project anafanya since that day hajapatikana mpaka leo,nikaona nimuulize rafiki yake ananiambia mbona kabadilisha namba na hataki nimpe mtu,nimelia usiku mzima sijalala naumia jamani hata nashindwa kufanya kazi

thee thehreeee... Mbona hujaomba ushauri?
 
ndugu yangu sisi wanwake ndo tulivyo tukipenda tumependa bwana hatuna matuta kwenye moyo kama nyinyi wanaume, its nature, once give up our heart we give up our part

mhh! Sithemi kitu mie
 
Salula eeeh.... salula mama .... nakupenda eeeh salula mamaaa... pole sana salula
 
Salula, sasa uko kwenye njia sahihi ya kuwa binti mwenye akili na hekima tele. Kama ulikuwa -------- sasa umeelevuka, changamoto na magumu tunayokutana nayo vinatusaidia kuwa viumbe bora zaidi. Ila nasikitika tu kuwa, inaonekana hakuna mtu aliyewahi kukuonya au kukushauri kuhusu mahusiano.

Dear sister, always remember this: you can not change the past, but you can use it to shape your future.
 
usipanic sana,TUPO WENGI...tushawahi kutendwa now maisha yanaendelea vizuri tu,we endelea na maisha yako kwani anakupa hela au pumzi,NOPE,...sasa shida ipo wapy,
 
pole ndugu,nakuomba fanya kitu kimoja,unapofanyiwa jambo lolote ambalo we hujui nini tatizo tumia njia INTERNAL LOCUS OF CONTROL badala ya EXTERNAL LOCUS OF CONTROL,assume kuwa wewe ndio tatizo,fuatilia ujue nini chanzo ili ikusaidie may be kwa kumrudisha au kujipanga kwa mahusiano ya mbele yasije jirudia yale yale,usipuuze wala kulalamika haitakuwa na maana tafuta happiness kabla ya muda haujakuacha,you cant avoid relation as a perfect human being,
 
Pole the best!!! Wenzako tulivslishwaga pete alimanusura vidole vikatike na hatukuolewa!!

Kata mti, panda mti ndio dawa tuuu!!

Kakuona wa nn we muone wa kazi gani!!! Kanyaga twende my dia huyo si mtu sahihi kwako, amini hivyo..
 
Kwani ndiye alikutoa bikira???? Ukijibu nitajua nikushaurije..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom