Jack Daniel's
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 1,008
- 840
- Thread starter
-
- #21
Imagine wewe ndio huyo Mzee au mkeo ndio huyo mama na wewe unasoma hio habari hapa JF, ndugu zangu huu ushababi usio na kichwa wala miguu siku moja utajirudia wamarekani wanamsemo kalma is a B*ch
Kwaiyo unajisifia ama?
Ebu andika na summary hapo mwisho
Kunywa ile dawa ya kimasai ili uongeze nguvu. Hivi OLESAIDIMU ile inaitwa kiloriti ama?
Shigongo anahusika hapa
Hujaeleweka
mmmh jitathmini ujue unataka nini kwenye mahusiano ndio ufanye maamuzi, honi aibu kuwa na mahusiano na mama na binti yake, na bado una mpenzi, kama ungekua unampenda mpenzi wako sidhani kama ungekua na hayo mahusiano mengine ya nje u8nless una tamaa au bado hujui unachokitaka
ni hayo tu
Haujui kusummary habari?
false story
Ukimwi unaua
Mzinzi ataka ushauri kwa wazinzi,