Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,657
- 12,385
Hayo maji ya uvuguvugu yaliyochanganywa na chumvi unafanyeje?Hiyo kitaalamu inaitwa tonsils slits,.huwa Ni bactreria wanaolundikana kwenye kimeo,.na huwa Na rangi ya njano..na huambukizwa kwa njia ya mate,..dawa yake Ni maji ya uvugu vugu yaliyochanganywa na chumvi
Ikizid huleta harufu mbaya kwenye kinywa...
Ongeza nyama kidogo.