Heisenberg
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,688
- 2,982
Wakuu juzi kati wakati nakohoa mara nikaona kama kitu kipo mdomoni nikakitema mkononi baada ya kukiangalia sukujua ni nini, nikakibonyeza kikapasuka na kinanuka sanaaaaa, je ni nini hiki??! ni ugonjwa ?? naomba kujua