Nimetatizika!! Nisaidie hapa nitokeje

Nimetatizika!! Nisaidie hapa nitokeje

Hello Jf family

Niruhusu nijikite kwenye hoja ya msingi.

Mimi ni mme wa mke mmoja. Ninaishi mkoa X ambao si asili yangu ila ndipo ilipo asili ya mke wangu.

Kwa mkutadha huo, interaction ya jamaa na familia ya mke wangu ni kubwa ambayo kimsingi ina impact hadi kwenye distribution ya resources including monetary benefits.

Katika hili nimejikuta nakosa ulali sawa katika kubalance my core family responsibilities and those related to extended family.(wanafamilia mtanielewa katika hili).

Iwe kwa kujua au kutokujua mke wangu pia anaamini katika philosophy ya toa utapata_ kitu ambacho katika utekelezaji wake unatuacha katika hali ya deficit budget na kutofanikiwa kutimiza malengo ya familia yetu mama, kutokana na ku inculcate philosophy ya kumsaidia kila atake show up na uhitaji hasa katika jamaa zake.

Kimsingi my philosophy is different, naamini sana kwenye uwajibikaji wa moja kwa moja and briefly I'm considering my self as a liberal ( there's no free lunch in Paris). Akili na imani yangu inanituma niwe kauzu(full kubana matumizi) ili kufikia malengo ila pressure ya kimazingira inanifanya ku-act differently.

Nimekuwa tolerant kwa muda mrefu nikizani mambo yatabadilika ila philosophy hii naiona hainisaidiii kufikia malengo kwa wakati and in a so efficiency and effective way.

Hivyo, wakuu hebu nisaidieni namna bora kabisa ya kutoka katika utata huu ambao unanifanya kuishi maisha ambayo siyaamini ila mazingira na society expectations zinanipa pressure kuyaishi.

Note: I'm not good in in writing a persuasive thread but please grasp the concept and advise acordingly.

Kind regards.




Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu,
Anzisha ratiba ya kua mnasali kila siku usiku kama familia, tenga mda kuanzia saa tatu usiku au saa mbili na nusu na ratiba hiyo iwe inachukua dakika 30. weka utaratibu utakao upenda ambao utachukua huo mda wa nusu saa na ifanye kua ni lazima kwa yeyote aliye hapo kwako akija lazima ashiliki.
Hili litakusaidia ktk kuwafanya wao kua na woga kuja kukaa hapo kwako maana kusali hua ni azabu kwa binadamu wengi.
Litakusaidia kueleza hoja zako na zikaeleweka kua hela huna na kuna kitu mnakifanya.
Litakusaidia pia kumkamata vyema mkeo kifikra kulingana na falsafa yake na hilo litakusaidia katika kumshawishi katika kutekeleza mambo yenu ya muhimu mliyopanga au uliyobuni kufanya.

Naongea hilo kwa uzoefu maana nimewahi kua mhanga wa tukio kama lako. Hakika nakuhakikishia hili litakusaidia sana mbali na hapo ukitumia nguvu nyingi za kiume utaharibu kila kitu hadi kwa mkeo.
 
Ukiona sisi tume amua kuwa mabechela tumeona sana mengi lakini kumbuka ukioa familia ya mkeo ni yako na wewe kichwani inabidi ufanye maamuzi mazito ndio maana ukaitwa kiongozi wa familia inavyo onekana omelega lega serikali yako inakaribia kupinduliwa..Mwisho sio kwa umuhimu mwanaume ni kama simba unabidi ungulume wakusikie..

Nakuunga mkono mkuu .... kesi rahisi sana hii ...
 
Nimenote ushauri wako mkuu
Hujaeleza ni kwa namna gani hao makupe wanakunyonya...is it in terms of cash, au wanaishi kwako kabisa....au wanakuja kula kila weekend ..au vipi.

Pia hujaeleza kama kipato kinachopukutishwa ni chako peke yako au na cha mke wako.

Anyway principle moja inayofanya kazi ni kutokuwa na hela. Yaani siku zote usiwe na hela itakusaidia kwa maana hata mtu akina na shida utakuwa huna hela.

Utafanyaje usiwe na hela.
1. Kama unajenga. Kila ukipata hela nunua kitu, eg matofauli weka Site. Yakitosha nunua cement ita fundi.
2.Jiwekee lengo. Kwa mfano kama unataka kufanya kitu cha mil 10 na unaweza ku save 2m every month..fungua account ya malengo. Ambayo unaweza ku deposit lakini huwezi kutoa hadi lengo lako litimie. NBC wanayo hiyo account. So kila ukioata hela utatumbukiza kwenye account ya malengo...mtu akija na shida zake huna hela. Lengo likitimia toa hela kafanye yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muandalie mafungu ya pesa na matumizi. Fungu la misaada punguza. Hakikisha anayajua mafungu ili asijisahau.
 
Hello Jf family

Niruhusu nijikite kwenye hoja ya msingi.

Mimi ni mme wa mke mmoja. Ninaishi mkoa X ambao si asili yangu ila ndipo ilipo asili ya mke wangu.

Kwa mkutadha huo, interaction ya jamaa na familia ya mke wangu ni kubwa ambayo kimsingi ina impact hadi kwenye distribution ya resources including monetary benefits.

Katika hili nimejikuta nakosa ulali sawa katika kubalance my core family responsibilities and those related to extended family.(wanafamilia mtanielewa katika hili).

Iwe kwa kujua au kutokujua mke wangu pia anaamini katika philosophy ya toa utapata_ kitu ambacho katika utekelezaji wake unatuacha katika hali ya deficit budget na kutofanikiwa kutimiza malengo ya familia yetu mama, kutokana na ku inculcate philosophy ya kumsaidia kila atake show up na uhitaji hasa katika jamaa zake.

Kimsingi my philosophy is different, naamini sana kwenye uwajibikaji wa moja kwa moja and briefly I'm considering my self as a liberal ( there's no free lunch in Paris). Akili na imani yangu inanituma niwe kauzu(full kubana matumizi) ili kufikia malengo ila pressure ya kimazingira inanifanya ku-act differently.

Nimekuwa tolerant kwa muda mrefu nikizani mambo yatabadilika ila philosophy hii naiona hainisaidiii kufikia malengo kwa wakati and in a so efficiency and effective way.

Hivyo, wakuu hebu nisaidieni namna bora kabisa ya kutoka katika utata huu ambao unanifanya kuishi maisha ambayo siyaamini ila mazingira na society expectations zinanipa pressure kuyaishi.

Note: I'm not good in in writing a persuasive thread but please grasp the concept and advise acordingly.

Kind regards.




Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiye kiongozi wa familia.Mbinu unayoona inafaa ndiyo unayopaswa kuisimamia.Mweke wazi mkeo kuhusu msimamo wako na uanze utekelezaji wake mara moja.
 
Kuna watuna bahati za mtende lakini hamzitumii,

Dawa ni ww anza kutafuta watu wa kuwasaidia (itapendeza ukipata watu fake daily) so unatoa mshahara woote kwa watu uwajuao then unabakisha laki1/2 m'baki mmasurvive. Endelea hivo mpaka philosophy yake itakapobadilika.
Kwa jinsi unavosaidia familia yake haiwez badilika hata mkilala njaa, ila ukianza saidia familia yako lazima philosophy itabadilika
 
Back
Top Bottom