Nadhani hiko anachokifanya mkeo, ni dalali ya kwamba anafahamu A to Z ya uwezo wako au wenu wa kifedha. Jambo ambalo ni zuri, kama wewe na mkeo wote unavision moja. Nje hapo ni lazima ilete shida kama hizo....
Sasa basi, me ningependa kukushauri kwamba, jitaidi sana kadili uwezavyo.... uanze mdogo mdogo kumtengenezea mazingira ya kuona kwamba, kipato mnachokiingiza ni kidogo sana kwenu. Na unaweza kufanya hivyo, kwa kuhakikisha unagawanya mapato ya 2:3:5 katika hali ya usiri mkubwa mno. Huku ukimuaminisha kwamba, 80% ya mapato yote ndio hayo uliyompa yeye, then wewe umebakiwa na 20% only ya emergency katika mizunguko yako.
From there unaanza kujifanya ni kama umemuachia yeye each and everything cha famila.....kwamba yeye ndio apange namna gani ya kutekeleze kila linalotakiwa kufanyika ndani ya familia. I hope ndani ya muda mfupi tu ujao, atatema hiyo amini aliyomeza ya hiyo philosophy.
I wish you all the best chief.
Sent using
Jamii Forums mobile app