Walinitapeli million sita
Asking price yake ni kiasi gani unajua watu wanatafuta unafuu wa gharama na nyumba ya kawaida ili waishi, sasa ikiwa hilo Jumba ni kubwa (hata usafi pia inasumbua na ni gharama) alafu bei yake ni kubwa sana na location yake sio accessible huenda asipate watu au kama shida ni kuchungiwa nyumba wakati hayupo bora atafute ndugu zake au aweke mlinzi wa kumchungiaHaki ya nani poleni sana.Mie nina dada yangu ana bonge la jumba Tegeta anahangaika kutafuta mtu wa kuishi humo kwa miaka mitatu maana yeye anaenda kusoma.heeee wengine mnatapeliwa jamani kweli watu tunatofautiana.
Mkuu kweli kwa Dar unapata kiwanja na kujenga kwa kiasi hicho (sijui sababu sikai dar ila navyojua Dar property ipo overpriced)Nakushauri ukipata tena pesa kana hizo sogea kando ya mji upate kiwanja. Milioni sita unamaliza chumba na kuhamia. Ni pesa ndefu. Achana na kupanga kama kampuni za simu ambazo zinajua tanzania zinapita tu.vyou arwle here to stay for the rest of your life.
Haki ya nani poleni sana.Mie nina dada yangu ana bonge la jumba Tegeta anahangaika kutafuta mtu wa kuishi humo kwa miaka mitatu maana yeye anaenda kusoma.heeee wengine mnatapeliwa jamani kweli watu tunatofautiana.
Kila mtu ana chaguo la 'taste' ya maisha anayotaka kuishi. Huko kando ya mji taste yake ni tofauti sana na Sinza.Nakushauri ukipata tena pesa kana hizo sogea kando ya mji upate kiwanja. Milioni sita unamaliza chumba na kuhamia. Ni pesa ndefu. Achana na kupanga kama kampuni za simu ambazo zinajua tanzania zinapita tu.vyou arwle here to stay for the rest of your life.
Hekaya za Abunuasi Huyo Fred ni mweupe mfupi? Uliambiwa nani mwenye nyumba halisi?
Siku hizi nikinunua shamba or anything nampiga picha dalali, kwenye shamba na mwenyekiti WA mtaa. Na nawataarifu kabisaa kuwa if the deal is a bluff watajikuta magazetini na sura zao wanatabasamu.
pole.
Kuna mdau alinunua nyumba kila kitu fine na alifata procedures zote, matokeo yate wamekuja wanaukoo / ndugu na kudai hawakushilikishwa kwenye hayo mauzo. Huu ni mwaka wa tano Kesi zinapigwa danadana..., ingawa huenda mwisho wa siku atashinda Kesi ila usumbufu na muda aliopoteza anajuta.Siku hizi nikinunua shamba or anything nampiga picha dalali, kwenye shamba na mwenyekiti WA mtaa. Na nawataarifu kabisaa kuwa if the deal is a bluff watajikuta magazetini na sura zao wanatabasamu.
pole.