Hilo jina lako nalipataga KwaMsisi Tanga aseeee kumbe ni wa mtu wa MafiaMimi nimewahi kuleta uzi hapa kuhusu ya kwamba natafuta mtu ambae atakuwa tunafanya biashara ya nazi.
Kweli nilipata mtu amenambia yupo sokoni Ilala ila sina hakika; mara ya kwanza nilimpekea nazi kwakuwa mimi mwenyewe nahodha kwenye jahazi nikachukua nazi Mafia zilikuwa mia tano, nikafikisha mpaka Kisiju nikapakia kwenye gari nikamuelekeza azifaute Mbagala.
Kweli jamaa kafuatilia akazipata nazi, sasa tokea alipozipokea, jamaa nikipiga hapokei simu.
Mimi nilifanya kwa imani tu, sasa jamaa kaamua kudhulumu.
Sina muda wa kumfatilia kwa sababu kazi zangu kutwa nipo baharini ila huyu jamaa najua yupo hum. Namwambia nitachomfanya, labda mimi sio kwetu Mafia atajuta.
Mwisho: Jamani tuwe makini
Mkuu Nazi au Koroma?sijui korona.Yeye hajakufanyia chochote Kibaya wala usitake kumfanya ajisikie hofu kwa kumtisha tisha kwamba utamfanya kitu kibaya.Cha kufanya wewe Leta Nazi nyingine Mia tano mpe mtu mwingine kama vile mimi then nitaangalia namna ya kukupooza.Biashara sio rahisi hivo,zingekuwa rahisi hivo kila mtu angefanya.MzeeMimi nimewahi kuleta uzi hapa kuhusu ya kwamba natafuta mtu ambae atakuwa tunafanya biashara ya nazi.
Kweli nilipata mtu amenambia yupo sokoni Ilala ila sina hakika; mara ya kwanza nilimpekea nazi kwakuwa mimi mwenyewe nahodha kwenye jahazi nikachukua nazi Mafia zilikuwa mia tano, nikafikisha mpaka Kisiju nikapakia kwenye gari nikamuelekeza azifaute Mbagala.
Kweli jamaa kafuatilia akazipata nazi, sasa tokea alipozipokea, jamaa nikipiga hapokei simu.
Mimi nilifanya kwa imani tu, sasa jamaa kaamua kudhulumu.
Sina muda wa kumfatilia kwa sababu kazi zangu kutwa nipo baharini ila huyu jamaa najua yupo hum. Namwambia nitachomfanya, labda mimi sio kwetu Mafia atajuta.
Mwisho: Jamani tuwe makini
Mkuu Nazi au Koroma?sijui korona.Yeye hajakufanyia chochote Kibaya wala usitake kumfanya ajisikie hofu kwa kumtisha tisha kwamba utamfanya kitu kibaya.Cha kufanya wewe Leta Nazi nyingine Mia tano mpe mtu mwingine kama vile mimi then nitaangalia namna ya kukupooza.Biashara sio rahisi hivo,zingekuwa rahisi hivo kila mtu angefanya.Mzee
HaswaaaKama una uthibitisho mtaje ID yake mkuu. Hii itasaidia na wengine kuwa na huyo jamaa makini. Pole sana.
Kwahio unasapoti uhuni aliofanya, watu wa aina yako na huyo mhuni mwingine ni wa kutumiwa radi ya kuua kabisa , wala kupewa busha haitoshiMkuu Nazi au Koroma?sijui korona.Yeye hajakufanyia chochote Kibaya wala usitake kumfanya ajisikie hofu kwa kumtisha tisha kwamba utamfanya kitu kibaya.Cha kufanya wewe Leta Nazi nyingine Mia tano mpe mtu mwingine kama vile mimi then nitaangalia namna ya kukupooza.Biashara sio rahisi hivo,zingekuwa rahisi hivo kila mtu angefanya.Mzee