Nimetapeliwa na mbeba mizigo

Hapa watu wametumia fursa,,haiwezekanibunampaje mtu hela ya godoro bila risit? Unamlipa na mbebaji usiyemjua? Hawa watu wawili waliokuchezea huu mchezo inaonekana huna mazoea nao na bado ukawaamini,,hili ni tatizo kwa watz wengi,,,unless wangekuwa ni watu wako wa siku nyingi unaowaamini ndiyo ungefanya kama ulivyofanya...lakini vinginevyo hao jamaa wametumia fursa ya wewe kuwa -----...!
 
Kutapeliwa hapa mjini ni kitu cha kawaida. Wasamehe wote na Mungu atakupa hela utanunua godoro lingine. Uslipe ubaya kwa ubaya kwani ni machukizo kwa Bwana.
 
kisumapai na Sumbawanga wapi na wapi. Huyu ni mtu wa Songea, usitapeli wewe.
 
Last edited by a moderator:
mungu atakulipa mkuu usiofuu godolo tu lisikunyime usingzi bwanah,jichange upya tu usiofu
 
Mkeka unakuhusu mpaka utakapofanikiwa kuzichanga upya....
 
acheni uzembe utatoaje pesa bila kuchukua risiti, story za kuhonga michepuko msilete huku, pesa utoe mwenyewe halafu ulalamike.
 
acheni uzembe utatoaje pesa bila kuchukua risiti, story za kuhonga michepuko msilete huku, pesa utoe mwenyewe halafu ulalamike.

unaonekana bandidu sana weye na unaweza andikishiana na hata mkeo
 
We ni mzembe kama wazembe wengine ningekuwa nakufahamu ningekutia zinga la bao tena mbata unamwaminije mtu kwenye hela unaacha mpaka risiti
 
Mjini maboya hawaishi....

Next time ukilipia mali chukua risiti na always sindikizana na kibega.

Btw... unaponunua godoro lingine kamata Tanfoam hutajutia ununuzi wako
 
Pole lkn uliyataka mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…