Nimetapeliwa mwenzenu!

Rudisha pesa yangu,tapeli mkubwa ww!
 
Nilichojifunza ndani ya hii stori ni kwamba binadamu (ke) wanaroho mbaya sana.
Huyo huyo anaenisingizia nataka kumchachua tgo yake bado ananitafuta na kuniomba omba pesa!
Wacha mvua inyeshe tujue panapovuja!
Oneni jmn anatia huruma sana!
 
Na ww kama sio maku umeshindwa nin kumtag hapa ili tupunguze hii tabia ya utapeli
 
Sawa,vizuri ila nimehisi kuna MTU mnashirikiana kumchafua huyu Dada.Kama ni kweli basi acheni kudhalilishana.....jifunzeni kwa waliokufa,tunapita jamani...daa
 
Afu ana majibu ya matusi sana,daa wanaume wamebaki wachache sana
ukiona mwanaume anatukana hovyo hovyo amini yuko frustrated na maisha Hana hela. wanawake huko mtaani hawamtaki. sasa shangaa anatafta mwanamke mtandaoni huoni kuna shida hapo? sijawahi kuona mwanaume aliyeko stable finacial akitukana watu asio wajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…