Nimetapeliwa mwenzenu!

Nimetapeliwa mwenzenu!

Image_1668299805.jpg
 
Asee leo baada ya kutapeliwa kizembe nimeamini yale maneno ya taikoni la fasihi, usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma!

Kuna demu humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani, tukaekana sawa, tatizo likaja kwenye kuonana, demu akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea.

Cha ajabu hapokei simu tena wala kujibu msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachozi twa mbali.

Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...

Swain!!

Wee vipi?!!, unakuja kutupigia kelele na vijisenti vyako vya kunulia mboga hapa!!?--- mi nikadhani umetapeliwa 1m !!😏
 
Lakini si tulikubaliana kwamba hatumiwi nauli mtu? Siku nyingine tukikubaliana basi tuyaheshimu makubaliano. Ona sasa yaliyokukuta tunaonekana kama hatuna umoja
 
Asee leo baada ya kutapeliwa kizembe nimeamini yale maneno ya taikoni la fasihi, usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma!

Kuna demu humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani, tukaekana sawa, tatizo likaja kwenye kuonana, demu akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea.

Cha ajabu hapokei simu tena wala kujibu msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachozi twa mbali.

Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...

Swain!!
sasa unamwachia Mungu mambo ya upumbavu wako, eboo..!?
 
Back
Top Bottom