Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,946
- 38,657
MtajeMbona nishàmtaja! Acha kukurupuka,soma post za nyuma!
Au edit post ya kwanza umtaje
MtajeMbona nishàmtaja! Acha kukurupuka,soma post za nyuma!
Nimecheka sana, naomba msimhusishe Mungu Kwa mambo ya ajabu.Asee leo baada ya kutapeliwa kizembe nimeamini yale maneno ya taikoni la fasihi, usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma!
Kuna demu humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani, tukaekana sawa, tatizo likaja kwenye kuonana, demu akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea.
Cha ajabu hapikei simu wala kujibu msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachozi twa mbali.
Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...
Swain!!
Amna MUNGU atakaekulipia mshuaAsee leo baada ya kutapeliwa kizembe nimeamini yale maneno ya taikoni la fasihi, usimwamini mwanamke wala kumwonea huruma!
Kuna demu humu kapost anataka mume mie nkampandia hewani, tukaekana sawa, tatizo likaja kwenye kuonana, demu akadai hana pesa nkamtigo pesa alufu 50 chap na yakutolea.
Cha ajabu hapikei simu wala kujibu msg! We mdada ulonilaghai kwa maneno matamu kua unaniletea mbususu na umenizulumu pesa yangu namwachia Mungu atanilipia! Hapa nilipo moyo unanienda kasi sana na tumachozi twa mbali.
Kuanzia leo sitasubutu kutumia mtoto wa mtu nauli! Hapa nilipo najilaumu sana ni bora ningeingia hapo juliana nkapiga kitimoto na serengeti light baridiiiii...
Swain!!
labda miungu ya mbususu, umeshaingizwa mjini kaa kwa kutulia

Mkuu, kumbe hapo Malamba kuna watoto wazuri
, mimi nitatuma 500 maana tukikutana mbezi itabidi uje kwa bajaj tu

Bado hela ya maji njiani mkuu inabidi utume pia, mwenzio katuma nauli na hela ya maji njianiMkuu, kumbe hapo Malamba kuna watoto wazuri, mimi nitatuma 500 maana tukikutana mbezi itabidi uje kwa bajaj tu
![]()

Ha ha ha,sikutaka nicheke aiseeYani najuta na hizi ngedere za humu!!