Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,157
- 17,049
Ooh..pamoja mkuu le akili kubwazNiko bata batani,tuwasiliane kesho asubuhi!Nitakuongeza na pajama moja incase mkitaka na turubai juuView attachment 450221

HahaaShati linafunika passo

Hahaaa!..mashuka yake mawili yanaweza yakafunikaa hata uwanja wa taifa..!We jamaa siyo kabisa kama mashati mawili yanatosha VP shuka lake ?
Mwenzako niliifungua na spea za turubai,japo ilinipa shida kidogoIphone kwanza huwezi ifungua kijinga jinga![]()
Heshima yako mkongweHahahaaaah watu mna utani.!
Safi boss mzima??Heshima yako mkongwe
Mkuu umesababisha nicheke kwa nguvu mnoooo mpaka nimejisahau kuwa nadaiwa kodi ya nyumba hapa
