Nimetapeliwa laki mbili

DUME SURUALI

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
785
1,000
Kwako LE MUTUZ a.k.a le akili kubwaz...
Husika na kichwa cha habari hapo juu..ni mimi mshkaji wako na shabiki wako mkubwa kwa jina naitwa dume suruali ukipenda unaweza niita 'Le dume surualiz'.

Lengo la kuandika barua hii ni ;
Kwanza kabisa kazi yangu mimi ni ya ufundi Maturubai yaani nashona maturubai yaliyochanika pamoja na kuziba matundu yaliyo kwenye maturubai..
Leo nilipewa pesa nikanunue turubai jipya kwa ajili ya sherehe za krismasi na mwaka mpya ..nilipewa kama laki2 hivi sasa ndugu yangu kufika mjini nikakutana na jamaa alikuwa anauza simu aina ya iPhone daah! Ukiangalia na mimi tangu nizaliwe sijawahi kutumia iPhone pia ilifika hatua nilimuweka mke wangu kupatana .com ili nibadilishane na simu ya iPhone sababu nilikuwa nawaona akina wema sepetu wanaishika huko instagramu basi na mimi nikaipenda..

Sasa huyu jamaa (tapeli)aliniambia nimpe ile laki mbili ili anipatie iPhone ..nikakubali haraka haraka,tena akaniambia nisiiwashe mpaka nifike nyumbani sababu nitaibiwa ..sasa ile kufika nyumbani nawasha simu haiwaki ..baadae nikasema ngoja niifungue daah! Kumbe waliniwekea udongo aisee !!
Sasa Sujui nitafanyaje na pesa ya watu nimekula Ndio maana nikaamua nikuandikie barua hii Kwani turubai linahitajika taree 26 na pesa nimeibiwa.
Kutokana na taaluma yangu ya kushona maturubai ..nilikuwa Naomba unipatie japo MASHATI YAKO MAWILI TU! ili niwatengenezee turubai la imejensi huku nikiwatafutia pesa yao laki2..
Najuwa wewe una nguo nyingi sana,hivyo utanisaidia japo nguo zako za zamani ili niepuke kwenda jela mwenzako.
_LE DUME SURUALIZ_
 
bandu bandu

JF-Expert Member
Sep 7, 2013
2,727
2,000
Kwako le mutuz a.k.a le akili kubwaz...

Chaaaaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom