Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,523
- 1,609
Ushauri mzuri sanaa mkuu naomba mawasiliano either yako au kam kuna rafk yak au ndugu yak yuko hapo nipate mwelekeo mzuri kuingia hapo natanguliza shukran Be blessed kwa hii commentKuna kitu kinaitwa trainee Zanzibar. Unapiga miezi 3 unapata cheti na possibility ya kazi ipoo. Mwez wa 6 kunafurika utalii sana Zanzibar hivyo makampuni yanaongeza scope ya operation.
Unaweza kusomea house keeping, barman, chef, front desk miezi 3 tu. Ada Yao ni 150 lakin pia wanalipaga kila mwez. Fikiria katika muktadha huu ili usijionyonge. Dar ngum sana..
Kwa kada hizo mishahra Yao inarange 300-500 kuntegemea na standard za kampuni