Nimetafuta kazi mpaka nimechoka najiona sina faida hapa duniani

Nikutangulizie salamu unazostahili wewe na wasomi wenzako vilaza PUMBAVU ZAKO.

elimu mliyojifunza darasani kuanzia chekechea mpaka huko ukilazani yaani chuo kikuu, haukuambiwa kuwa unasoma ili upate kazi au kuajiriwa, bali ulkuwa ukisisitizwa kujifunza na kuongeza maarifa.

Kama ulisoma coz fulan ukitegema ikupe maarifa then unashindwa kujisaidia unataka nan akusaidie?

Yaan unakuja mtandaon kulialia ukidhan utaonewa huruma?

Ninyi wasomi uchwara ambao mnataka huruma na makabatini mwenu mmejaza vyeti vya elimu ambazo ni useless ninyi ni wapumbavu, wenzenu walipokuwa wakienda VETA na vyuo vya ufundi mliwaona wajinga?

Wenzenu waliokuwa wakijiongeza na kufanya ujasiriamali mliwaona wajinga?

Na kuna wenzenu hivyo vyuo waligoma kwenda kisa kupambana na maisha mkawaona wajinga.

Hiyo Ada uliyolipa ni bora ungebeti ule au uliwe ijulikane umepoteza ama umepata, kuliko kugain elimu ambayo haikusaidii zaid ya kujiliza mitandaoni ili uonewe huruma.

Dunia haina huruma hata kidogo, kwa bahati mbaya watu tunaowapenda huwa tunawaambia ukweli mkavu na ukweli mchungu msiopenda kuusikia ilihali ndio uhalisia.

Wew si wakwanza na wa mwisho kusoma, kuna vilaza wengine na wengine wataendelea kusoma na kuongeza ujinga kichwani ili nao hapo baadae waje kulialia kama wewe.

Kama ungejitambua kabla ya leo hii na kabla ya kuamua kujiunga na ulichokisoma naimani ungefanya maamuzi ya maana.

Wasomi wa hii nchi ni mzigo kwa Taifa ,na ndio hawa hawa wanaodumaza maendeleo ya hili Taifa, tunawajua mlivyo mkishapata vijikazi ndio mnaonesha Uhalisia wenu jinsi gani mlivyo Takataka vichwani mwenu.

Chukua hii na uimeze japo chungu, achana na mawazo ya kuajiriwa jihisi kama yatima uliyetengwa na dunia usiyekuwa na mtegemezi wala Anko wa kukupa deal, then ibuka mtaani ukajionee fursa wanazopambana nazo vijana wenzako na wanayaendesha maisha yao kupitia shughuli mbalimbali, kaa nao ,ongea nao, kuwa na heshima na ukubali kupoteza muda kujifunza mambo mapya mtaani, naiman ndan ya mwaka hutokuwa wewe wa leo unayelia lia na kutaka kuonewa huruma, utaiheshimu hata Shilingi miambili unayoipata kupitia nguvu zako,akili zako na juhudi zako,

ukifanya haya ninaimani mwakani utarudi humu kurejesha shukrani ya pekee kwa msaada wa mawazo ambao huwezi kuambiwa na hao vilaza wengine wanaokuzunguka ama wanaokufariji, acha kutafuta faraja, tafuta lawama na bughudha ili ukue kiakili na kinidhamu, na hutojutia maamuzi yako.

Uwe na siku ngumu ya mahangaiko yatakayokufanya ufikiri vyema uzifikie ndoto zako.

Mark this: Mafanikio huja kwa watu majasiri na wenye Roho ngumu, bali umasikini na ufukara ni kwa watu wepesi na wenye roho za kukata tamaa/kupenda raha

Hata sisi tumesoma kama nyie na sasa hivi vyeti tumevifanya matambala ya kufutia meza na vingine vinanyewa na panya makabatini na hatuna Time navyo.

Kujiongeza, kupambana na kutumia akili ndiko kutakokusaidia, sio ajira wala msaada wa vilio na machozi ya kijinga, Amua leo hii
 
Nilisikia au kuona mtu anasoma hiyo kazi namuonea huduma. Yaani ukasoma diploma kazi zikagima unarudi kusoma kitu kile kile ungeenda hata ualimu basi.

Kuna mtu hapo juu kukushauri uende ukasome mambo ya hotel then utafute hotel ukafanye kama trainee baada ya hapo kama utakuwa unajituma utapata kazi japo utaanzia mshahara wa 300k ila uhakika wa kula kila siku utakuwa nao bila kutumia pesa yako.

Angalizo hizo kazi zinahitaji nidhamu ya hali ya juu ikibuweze kuajiliwa maana hutakuwa na connection
 
Kazi ngumu haziwezi kumtoa kijana ni hatari kwa afya pia kuna kazi kama boda boda na uchinga watu wamegeuza ni ajira sio kweli hizi kazi haziwezi kukutoa kimaisha labda kama utaamua kuingia kwenye mchakato wa muda mfupi kutengeneza njia nyingine
mtu hata kula yake ya tabu wewe unaleta story za kumtoa mtu.
Mpe ushauri basi ni wapi atapata pesa ya mlo.

Tatizo mshakalili viwanda vyote kazi ni ngumu za kuumiza afya nk, sio kote kuna hizo mambo kijana usikalilishwe.

Na hamna mtu anaenda kufanya kazi ya kulipwa 5000 kwa siku kwa mategemeo kua aje kua tajiri au atoboe.
 
The Lastdream
Captain Fire
RUSTEM PASHA
6WaS9

Nyinyi msicheke maana miaka 10 mbele hamjui itakuaje kwenye Maisha yenu mnaemcheka leo mnasahau kesho ni zamu yenu mtalia na kusaga Meno kuna watu wanapitia hali mbaya sana za Maisha Ila ni Mungu tu anawahifadhi na kuwafanya waendelee kuishi ingekua ukipatwa na ugumu wa Maisha unakufa basi barabarani kungekua kumezagaa mizoga ya watu wengi wengi mno

Juzi kuna kipindi nilikua naangalia TBC kinaitwa Wape Nafasi pale ndio nilipogundua kua kuna watu wanapitia magumu mno wewe km unagonga mkate blueband maziwa siagi na yai kila siku jua kuna mtu hajui kuhusu hio anasa kuna wenzio hata chai Mwaka unakatika hawaijui ina ladha gani

Na huyu
Upo Dar sio, kule Mabibo ni nguvu zako tu, kama una hulka ya uongeaji jichanganye na wale washusha ndizi, viazi, matunza aloo wale jamaa wanakunja hadi 30k per day, ni nguvu zako na uaminifu.
Wewe ulichotakiwa ni kutoa Ramani full mkeka ikiwezekana na Namba ya mtu wa kumconnect nae sio unabwabwaja tu unafikiri huko wanapokea watu wasiowajua ovyo ovyo km umekuja kuwaibia watakuamini vipi unafikiri masoko yanakubari watu ovyo ovyo unajiingiza eti na wewe unaenda kuvamia upate 30k?

Mpe mwongozo fika pale Sokoni onana na fulani na fulani atakufikisha kwa fulani na fulani atakupa utaratibu fulani

Jamaa yangu Superleta mkuu usihuzunike na maneno ya hawa watu wa humu najua una ndoto umesoma ukiwa na malengo ya kutumia ndoto zako humu kuna watu wa kila namna watu wa hali zote wenye hali ya juu na wenye hali ya chini Amini siku moja Maisha yako hayatokua km yalivyo Ila ningekuomba usiache kutuma maombi ya kazi pia muombe Mungu wako kabla na baada ya kutuma maombi, IPO siku isiyo na Jina utapata kazi ya ndoto zako na utatimiza malengo yako Ila usiache kujishughulisha kwa chochote cha kawaida (tunaita angalia Side B) maana Side A ishaanza kuonyesha kufeli au nyimbo zimekwisha kwa hio mbele hakuna muendelezo redio itabaki kukoroma tu kwa hio geuza hio tape weka Side B mziki uendelee kulia vizuri na wewe ufurahie kuusikiliza mziki wa hii Dunia, kwa waliowahi kutumia Cassettes watakua wamenielewa

Sehemu rahisi ya kuanzia jichanganye mfano kwenye Car Washes hizi hawaitaki cheti chochote kujua kuosha pikipiki, Bajaj au gari ndogo, bus au Lori pale ukijieleza watakupa maelekezo madogo tu then utaanza kuosha jichanganye na huko, ukihitaji njoo PM nikupe uelekeo wapi uende wakupe msaada huo

Kingine usije ukajichanganya viwandani viwandani ni kwenda kujitesa malipo kidogo kazi kubwa wakati kuna jamaa kakaa pale anaimwagia bodaboda 1 maji chwaaaa anapewa 2000/3000 akimwagia 10 tayari kakunja 20,000/30,000 wewe kiwandani unafanya kazi masaa 12 unalipwa 3000 hivi nani mwenye akili hapo?
 
Nitolee ngonjera pimbi wewe
Huyo mwenzio sijui ndio wewe anatakiwa apambane sio kulia lia kama shoga hapa mimi nili husstle kweli kweli mpaka hapa nilipo naweza kujiita tajiri tena sii taniri kwa kuforce hapa ni tajiri haswa sema kueleza siwezi
Tatizo vijana siku hizi wanataka maisha merereko wakati maisha ya siku hizi kuna fursa kibao yena sana tofauti na miaka yetu
 
Tukana leo after 10 years I'm telling you itakua zamu yako, mnaishi kwa kujisahau sana wanadamu hamjui Maisha yalivyo jifunze kwa waliokutangulia

Na usiniulize kwanini 10 years lakini wewe km unambeza mwenzio jipe miaka 10 mbele utakua km yeye au zaidi ya yeye alivyokua

Simulizi ni nyingi Ila wengi wanaopitia magumu wana midomo michafu km wewe lakini baadae yakiwafika husema nimemkosea nini Mungu bila kujua miaka 10 nyuma waliyatenda km haya kwa hio bank yao ya matendo imejaa haya na sasa wanalipwa haya that's 'Karma'
 
stow away Mimi nimecheka comment ya Captain Fire sijacheka matatizo ya mtoa mada. halafu mkuu mleta mada bado anamawazo yakitoto kamaliza 2022 na analia hana kazi. Wakati mimi nimemaliza 2018 discipline ya Mechanical Engineering, lkn mpaka leo nipo nafuga kuku, nakufanya plan zingine za maisha. Kwahio mleta mada aache utoto nguvu anazo na nimzima wa afya, ajichanganye atapata kazi.

Najamaa yangu mmoja yupo DODOMA, alimaliza Electrical & Electronics Engineer alivyomaliza pia 2018 alitafuta mchongo bila mafanikio, ikabid azamie kwenye kazi za saidia fundi kwenye maghorofa makubwa, huko ndio alipata connection yake baada yakufahamiana na Engineer aliekua anasimamia jengo. Kwahio naamini mleta mada bado maisha hayajampiga vizuri ndio maana anaogopa kuacha alichosoma nakufanya kazi yeyote ilimradi mkono uende kinywani.
 
Nitolee ngonjera pimbi wewe
Huyo mwenzio sijui ndio wewe anatakiwa apambane sio kulia lia kama shoga hapa mimi nili husstle kweli kweli mpaka hapa nilipo naweza kujiita tajiri tena sii taniri kwa kuforce hapa ni tajiri haswa sema kueleza siwezi
Tatizo vijana siku hizi wanataka maisha merereko wakati maisha ya siku hizi kuna fursa kibao yena sana tofauti na miaka yetu
Mkuu Captain Fire nipe furusa Boss.
 
Kungekuwa na fursa nchi hii kila kijana angekuwa tajiri
Huna akili

Si kila mtu ana jicho la kuona fursa zinazomzunguka ukiwemo wewe, huyo kijana hatafuti utajiri anatafuta kazi ili apate pesa na pesa zipo kwa watu, ili uzipate unapaswa kutatua changamoto zao. Najua hunielewi kwa sababu huna akili.
 
The Lastdream
Captain Fire
RUSTEM PASHA
6WaS9

Nyinyi msicheke maana miaka 10 mbele hamjui itakuaje kwenye Maisha yenu mnaemcheka leo mnasahau kesho ni zamu yenu mtalia na kusaga Meno kuna watu wanapitia hali mbaya sana za Maisha Ila ni Mungu tu anawahifadhi na kuwafanya waendelee kuishi ingekua ukipatwa na ugumu wa Maisha unakufa basi barabarani kungekua kumezagaa mizoga ya watu wengi wengi mno

Juzi kuna kipindi nilikua naangalia TBC kinaitwa Wape Nafasi pale ndio nilipogundua kua kuna watu wanapitia magumu mno wewe km unagonga mkate blueband maziwa siagi na yai kila siku jua kuna mtu hajui kuhusu hio anasa kuna wenzio hata chai Mwaka unakatika hawaijui ina ladha gani

Na huyu

Wewe ulichotakiwa ni kutoa Ramani full mkeka ikiwezekana na Namba ya mtu wa kumconnect nae sio unabwabwaja tu unafikiri huko wanapokea watu wasiowajua ovyo ovyo km umekuja kuwaibia watakuamini vipi unafikiri masoko yanakubari watu ovyo ovyo unajiingiza eti na wewe unaenda kuvamia upate 30k?

Mpe mwongozo fika pale Sokoni onana na fulani na fulani atakufikisha kwa fulani na fulani atakupa utaratibu fulani

Jamaa yangu Superleta mkuu usihuzunike na maneno ya hawa watu wa humu najua una ndoto umesoma ukiwa na malengo ya kutumia ndoto zako humu kuna watu wa kila namna watu wa hali zote wenye hali ya juu na wenye hali ya chini Amini siku moja Maisha yako hayatokua km yalivyo Ila ningekuomba usiache kutuma maombi ya kazi pia muombe Mungu wako kabla na baada ya kutuma maombi, IPO siku isiyo na Jina utapata kazi ya ndoto zako na utatimiza malengo yako Ila usiache kujishughulisha kwa chochote cha kawaida (tunaita angalia Side B) maana Side A ishaanza kuonyesha kufeli au nyimbo zimekwisha kwa hio mbele hakuna muendelezo redio itabaki kukoroma tu kwa hio geuza hio tape weka Side B mziki uendelee kulia vizuri na wewe ufurahie kuusikiliza mziki wa hii Dunia, kwa waliowahi kutumia Cassettes watakua wamenielewa

Sehemu rahisi ya kuanzia jichanganye mfano kwenye Car Washes hizi hawaitaki cheti chochote kujua kuosha pikipiki, Bajaj au gari ndogo, bus au Lori pale ukijieleza watakupa maelekezo madogo tu then utaanza kuosha jichanganye na huko, ukihitaji njoo PM nikupe uelekeo wapi uende wakupe msaada huo

Kingine usije ukajichanganya viwandani viwandani ni kwenda kujitesa malipo kidogo kazi kubwa wakati kuna jamaa kakaa pale anaimwagia bodaboda 1 maji chwaaaa anapewa 2000/3000 akimwagia 10 tayari kakunja 20,000/30,000 wewe kiwandani unafanya kazi masaa 12 unalipwa 3000 hivi nani mwenye akili hapo?
We kijana uko sawa??

Kama anataka huo mteremko wa mtu kuja jf ampe namba ya simu sijui ampe connection, amuelekeze ukitoka hapo nenda pale ukitoka kwa Mula nenda kwa Baraka atakusaidia basi aendelee kukaa gheto kwake alie mpaka machozi yakauke.

Unamfundisha ujinga na upumbavu, kuna moments mwanaume inabidi useme sasa hapa basi acha nikaone nini kitatokea.
Mtu kula yake ya tabu, wewe unakuja na maneno ya faraja eti kumtia moyo aendelee kukaa geto huku akifarijiwa na maneno yako akiumia kwa njaa.

Superleta kama unaitaka hiyo superleta kweli basi toka nje ukatafute fursa, achana na hawa wanaokutisha sijui kazi ngumu, malipo kiduchu na hizo blah blah, kama bado hujapata mishe nenda huko uangalie ramani.
 
Nitolee ngonjera pimbi wewe
Huyo mwenzio sijui ndio wewe anatakiwa apambane sio kulia lia kama shoga hapa mimi nili husstle kweli kweli mpaka hapa nilipo naweza kujiita tajiri tena sii taniri kwa kuforce hapa ni tajiri haswa sema kueleza siwezi
Tatizo vijana siku hizi wanataka maisha merereko wakati maisha ya siku hizi kuna fursa kibao yena sana tofauti na miaka yetu
Huyo jamaa hajielewi kuna time za mapambano sio kuendekeza kulia, hakusaidii kitu.
Toka nje ujaribu, ukishindwa tafuta ishu nyingine, huko huko ndo utapata akili.
Ila ukijifungia ndani utabaki na akili mgando kwa kuona kila kitu hakiwezekani, ooh sina mtaji, sina huki, sina kile na excuses kibao.
 
Sio sijaielewi wewe mboni Mimi nimeeleza kila kitu nini hujaelewa? Au una kichwa kizito?
 
Back
Top Bottom