Nchi INA wapuuzi kweli kwahyo kupiga push up ndo kigezo mbona hata ngedere anapiga. Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
If you are not physically fit you cannot be mentally fit! Ndiyo maana hata shuleni na vyuoni kuna vipindi vya michezo. Lowasa kwa sasa is mentally unfit kama alivyo physically unfit.
Kweli kabisa, hata mijusi wanapiga push up, tuwaamini na kuwapa Ikulu
Hata kama ungetaka kuweka pembeni maswala ya physical fitness...Magufuli bado anaongoza kwenye utendaji, uadilifu na uwezo wa kuongoza nchi...labda jamaa atamshinda kwenye kupiga dili tu
Labda kama uniambie huyo ndugu amependelewa....lakini, Diva B, ungejisikiaje kama wewe ungekuwa una vigezo vyote vya kuuziwa nyumba, lakini unakataliwa kuuziwa nyumba eti kwasababu tu,wewe ni ndugu wa Magufuli...hiyo ni haki kweli? Lets be fair...Labda utendaji wa Ku cremisha barabara na kukurupuka kufanya maamuzi yasiyo na busara na ufisadi wa nyumba za serikali
Read between the lines please. Hao wasiopenda michezo huko vyuoni pia ni wahonjwa? This man is ill with a terminal disease and is not physically fit!Hoja yako haina mashiko na hai make sense hata chembe hata mashuleni sio wote hu attend michezo na wako vizuri upstairs
Read between the lines please. Hao wasiopenda michezo huko vyuoni pia ni wahonjwa? This man is ill with a terminal disease and is not physically fit!