Joto ya jiwe inaanza kukuingia taratiiib.Kwani FIESTA bado iko Moro?
Nchi INA wapuuzi kweli kwahyo kupiga push up ndo kigezo mbona hata ngedere anapiga. Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
You are whining a lot. Where is Lowassa, ooh I see, he is scared of Magufulika. What a waste of life.Kufilisika hoja shida mi nasubiria aonyeshe govinda kabisa labda atani shawishi ebo
Kufilisika hoja shida mi nasubiria aonyeshe govinda kabisa labda atani shawishi ebo
You are whining a lot. Where is Lowassa, ooh I see, he is scared of Magufulika. What a waste of life.
Huyu ni Vladimir Putin akipiga push ups
![]()
Huyu ni Barack Obama akipiga push ups
![]()
Huyu ni John Magufuli akipiga push ups
![]()
Huyu ni Edward Lowassa akisaidiwa kupanda ngazi za jukwaa
![]()
Picha hizi ni ushaidi tosha kuwa Lowassa ni dhaifu na hana sifa za Urais ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu.
How will a vacuous ukawanite fathom the truth? State house is a gym but not a hospital. Just to help you, look at this.Sacred of Magufulika only stupid can argue that. State house is not a gym. Hahaaaa LOL only in Tanzania makomeo can't be serious. Style ya mbuzi ka goma kwenda. He lack wisdom aiseee kah!😀😱
Just to inform you. State house haina haja na wagonjwa,Kila jambo na context yake ukiwa kwenye michezo unafanya Vladimir hapo hayuko kwenye occasion muhimu na serious ya kitaifa the same to Obama. Pia uongozi sio physical power uongozi ni kitu kingine kabisa cha kutumia akili na maarifa na sio miguvu ingekua hivo kina May weather wangekuwa maraisi,Cheka
How will a vacuous ukawanite fathom the truth? State house is a gym but not a hospital. Just to help you, look at this.
![]()
![]()
BUT A fool like you will never comprehend this. Get a life.
Just to inform you. State house haina haja na wagonjwa,
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Baada ya Mh. Magufuli kuistua Dunia nzima kwa Magufurika, CCM waja na aina nyingine ya kampeni ya Nimes'tuka. Hakuna wa kulinganisha na CCM ambao hawatabiriki na wala huwezi kujua staili yao ya kampeni.
Ishmael acha kukufuru Mungu wewe si ndio mponda injili hapa JF?
Imekuaje umeanza kufuru mbaya namna hii?
Ulijua kama waziri Celina Kombani angefariki leo?
Mbona umeuza utu wako na kujidhalilisha sana?
If you are not physically fit you cannot be mentally fit! Ndiyo maana hata shuleni na vyuoni kuna vipindi vya michezo. Lowasa kwa sasa is mentally unfit kama alivyo physically unfit.Kila jambo na context yake ukiwa kwenye michezo unafanya Vladimir hapo hayuko kwenye occasion muhimu na serious ya kitaifa the same to Obama. Pia uongozi sio physical power uongozi ni kitu kingine kabisa cha kutumia akili na maarifa na sio miguvu ingekua hivo kina May weather wangekuwa maraisi,Cheka
Hapo Obama ndo sehemu yake halisi sio kwenye vtu serious aisee . leading people needs wisdom,and knowledge rather than using energy to lead people. For this I totally disagree with u because ccm are using any means to fool people. But this won't help ua party even if Magufuli will run more than cheater. We Tanzania we need good policies rather than stupid drama of push ups state house is not a gym.
Kikombe cha babu veeeeeepeee