Nimestaafu

Ndugu zangu wapwa, shangazi na wengine kwa ujumla mimi Fidel nimeamua kujitoa rasmi kwenye chama cha kujiexpress kwa hiari yangu mwenyewe bila kushrutishwa na kiumbe yeyote yule. Nimeona sipati faida yeyote ile ndo maana nimeamua kutamka wazi wazi kuwa nimeacha rasmi, mnichukulie mtu wa kawaida tu sasa maana wengine walikuwa wananiogopa napo pishana nao barabarani zile KY zote nimesha zichoma moto...nilio wakwaza kwa kutumia huu mtandao naomba mnisamehe.

"...japokuwa dhambi zenu zilikuwa nyekundu kama Bendera, sasa mtang`ara kama theluji"!

Acha dhambi kwa kudhamiria, na usirudie.
Otherwise, be blessed.
 
wengine tumeshalipia kozi za tigo,muasisi kaamua kuacha,lol!
 
H/boy,

Sasa naona hata ile project 2010 campaign mtaifanya vizuri na mkuu Geoff.......!
 
H/boy,

Sasa naona hata ile project 2010 campaign mtaifanya vizuri na mkuu Geoff.......!
swadakta homeboi!.....ameniacha njia panda hata ivyo.mimi tigo ndo inazunfuka kwenye damu sasa,YEYE ANAACHA!
 
inaweza kuwa danganya toto?!!!!!....ili mashoriiz wakitongozwa waingie kingi mpela-mpela

Hapo ndipo napopafikiria zaidi. Mabinti wasim-underestimate huyu mpwa wangu. Shauri yao! Stuka!
 
Hapo ndipo napopafikiria zaidi. Mabinti wasim-underestimate huyu mpwa wangu. Shauri yao! Stuka!

Wapwa mtu anapo rudi kundini kwa nini mnamtilia shaka jamani au mnataka niendelee kujiexpress?
 
Wapwa mtu anapo rudi kundini kwa nini mnamtilia shaka jamani au mnataka niendelee kujiexpress?
develop tu lijendi!mbona mimi nimejifunza juzi tu na ninainjoi!kimsingi sifikirii kuacha:D
 
"...japokuwa dhambi zenu zilikuwa nyekundu kama Bendera, sasa mtang`ara kama theluji"!

Acha dhambi kwa kudhamiria, na usirudie.
Otherwise, be blessed.

Swadakta, nakutakia mpwa maisha mema ndani ya Kristu. Amebakia BLURAY tu kumjua na kumwamini Mungu.
 
dada ako hajui!tena usimwambie.ngoja nitoroke nikalione hilo kombe la dunia shortly....

Hahaha! Unaenda kushangaa dhahabu au? Si uwahi pale bulyanhulu ukaangalie matani ya dhahabu yanavyosafirishwa kinyemela kwenda kwa wenyewe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom