Nimestaafu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimestaafu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Fidel80, Nov 18, 2009.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ndugu zangu wapwa, shangazi na wengine kwa ujumla mimi Fidel nimeamua kujitoa rasmi kwenye chama cha kujiexpress kwa hiari yangu mwenyewe bila kushrutishwa na kiumbe yeyote yule. Nimeona sipati faida yeyote ile ndo maana nimeamua kutamka wazi wazi kuwa nimeacha rasmi, mnichukulie mtu wa kawaida tu sasa maana wengine walikuwa wananiogopa napo pishana nao barabarani zile KY zote nimesha zichoma moto...nilio wakwaza kwa kutumia huu mtandao naomba mnisamehe.
   
 2. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,418
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  hehehe shekhe njia iliziba ukapigwa bomba nini??

  pole sana kwa kujiondoa kwenye karamu na hongera kwa kuamua kuishi kiseja shekhe
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nimeamua kurudi kundini nashukuru kwa kunipokea nilijua mtanikana.
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,282
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  eeh!
  MPWA....!hongera sana
   
 5. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,418
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  kaka FIDEL
  juzi kati hapa nilipata ofa kwenda kibaha kuna kabinti ka mama yake kalikuwa kanataka sana nikajiexpress kwake. naomba nisiendelee na story maana shemeji zangu wanasoma humu... hehehe
   
 6. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,466
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 0
  Fidel.... kama ni damage ilishafanyika.... utasafisha na sabuni gani hadi utakate?
   
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,422
  Likes Received: 677
  Trophy Points: 280
  karibu mpwa kwenye maji safi
   
 8. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,465
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Itabidi ufunge kula kwa muda wa siku 40 ili Sir God apokee toba yako.
   
 9. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,422
  Likes Received: 677
  Trophy Points: 280
  jamani tumkaribishe kwanza kaamua kuokoka, halafu hayo mengine tumuachie mwenyewe.
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Nov 18, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo unanishauri niendelee na libeneke kama kawa au?
   
 11. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,282
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  wapwa tunafikiria kufunga kula na kunywa maalum kwa ajili ya kumshukuru mungu kwa namna alivyomnusuru mpwa
   
 12. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #12
  Nov 18, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,155
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hongera sana Mpwa kwa uamuzi uliochukua ndugu yangu
  Ila najua unakumbuka kuwa mimi nilikuwa mstari wa mbele kupinga hiyo iliyokuwa tabia yako ya kujiexpress. Nashukuru at the end umeacha. Hongera sana Fidel80
   
 13. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #13
  Nov 18, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,155
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Bado Mpwa wetu mwingine Masa
  Najua yuko around the kona kuachana na hii mambo
  Tunakusubiri bestie utuabarishe kama alivyofanya Mpwa Fidel80
   
 14. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #14
  Nov 18, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,155
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hapana bana
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Nov 18, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160

  Ngoja niendelee kumwakilisha mkitaka uzoefu mimi naona nimejikita huko huko
   
 16. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #16
  Nov 18, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Aaah Mpwa, sasa kama umeamua kuacha kwa hiari, iweje tena urudi kwa kushauriwa? Mimi bado nitaendelea kukuchunguza kama umeacha kweli, then hapo ndipo nitakapokupongeza. Kwa sasa bado nina mashaka !!
   
 17. K

  Keil JF-Expert Member

  #17
  Nov 18, 2009
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hongera kwa maamuzi yako ... japo wapo ambao huwa wanasema mtu akianza mchezo huo huwa hawaachi.
   
 18. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #18
  Nov 18, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,245
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Bora usi-fall into relapse.... uko 'clean' kwa muda was siku ngapi ama ni masaa mangapi??? ahahahhaha!
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  Nov 18, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,209
  Likes Received: 3,142
  Trophy Points: 280
  alovera
   
 20. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #20
  Nov 18, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,245
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  mmmnh hii inataka jik na mharobaini ( neem) LOL
   
Loading...