Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,694
- 3,982
Unaweza kuumwa kwa kuwaza na ukaamua kujinyonga kwa hasira. Yaani unajiuliza wale watu waliotaka kuwakabidhi wachina hiyo bandari ni wa Tanzania kweli au ni wachina wenyewe? Nchi hii imekuwa na viongozi wa ajabu sana. Wa hovyo.
Tumeweka madarakan miviongozi mijizi,mishetani,mijambazi ambayo inapora nchi kuwanufaisha wageni.
Nmejikuta natetemeka kwa hasira kali sana. Na washukuru Magufuli ana huruma ningekuwa mimi ningewanyonga hadharani kwa uhujumu uchumi na uhaini waliotaka kuufanya kwa rasilimali zetu.
Hawa watu si watakuwa mawakala wa shetani kbisa? Binadamu wa kawaida hawawezi ruhusu mikataba ya ki chief mangungo wa msovero karne hii.
Kwa kweli Tumshukuru sana Rais Magufuli. Angeingiwa na Tamaa tu...tungeliwa tena. Watanzania hamjajifunza GESI MTWARA? NYIE HAMWONI TULIVYOIBIWA KULE?
HAMJAJIFUNZA MKONGO WA MAWASILIANO? Viongozi walishakula chao wamepumzika na familia zao wanatudanganya na kilimo huku wameshatuibia sana.
Kwa kweli Magufuli aongezewe muda atawale miaka 15 minimum. Maana nina wasiwas itakuja tena mijitu ya hovyo kuuza nchi.
Achaneni na matunda ambayo yameshaanza kuoza...tena ya msimu chukueni vitu ambavyo hata sisi tunaviamini kufungia vyumba na nyumba zetu. MAGUFULI AGAIN 2020 HAKUNA PINGAMIZI.