Nimesizi kinoma

Nimesizi kinoma

hkeenshine

Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
36
Reaction score
4
jamaa mmoja alitupia k2 cha Chuga , eti juu ya mti. bahati mbaya c akadondosha njiti ya kiberiti akaitazama akaZOOM, akaona ipo karibu saizi ya kuinama tuu, si akainama aokote, kilichotokea mimi sijui! nilisia tu! alafu kimwaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom