Nimesingiziwa mimba na mama Mkwe

Nimesingiziwa mimba na mama Mkwe

Mwambie mkeo msubiri mtoto azaliwe apimwe D.N.A baada ya hapo hatua stahiki zichukuliwe.
 
mi nadhani hii stori ni ya uongo ya kutunga,KWA umri wa mama mkwe ulioutaja inawezekana mama mkwe ameshafikia MONOPAUSE kwahyo uwezo wa kuwa mjazito ni mdogo sana

Mi mwenyewe nahisi ni mimba ya matambara, maana siku nyingine inakuwa kubwa na siku nyingine ndogo. Pia wakati mwingine inajaa pembeni
 
Mm nawashangaa wanaume wanaopenda kujenga ukaribu na wakwe zao mm sitaki kabisa hata mashemeji mm mbalimbali! Maana wakwe wengine we acha tu wanakuwa bado wamo halafu hawana waume anahisi binti anafaidi! Mm yalitaga kunikuta bahati nzuri sikukaa sana lkn nilishaanza kuiona movie inakoelekea!
 
Mama mkwe wangu ana karibia miaka hamsini. Yeye hakuwahi kuolewa maishani mwake.

Tunaishi mkoa mmoja ila maeneo tofauti. Sasa ana ujauzito na kamwambia bintiye (mke wangu) kuwa ile mimba ni yangu. Eti nilimbaka.

Binti anataka na anataka tugawane mali. Msaada please, maana mwenyewe nimeelemewa na mawazo.
Bujibuji na wewe yamekufika au unamfanyia mtu featuring?
 
Last edited by a moderator:
Mama mkwe wangu ana karibia miaka hamsini. Yeye hakuwahi kuolewa maishani mwake.

Tunaishi mkoa mmoja ila maeneo tofauti. Sasa ana ujauzito na kamwambia bintiye (mke wangu) kuwa ile mimba ni yangu. Eti nilimbaka.

Binti anataka na anataka tugawane mali. Msaada please, maana mwenyewe nimeelemewa na mawazo.

Kwani ulishawahi ku duu na mkweo au mimba iyo inakuwaje? ebu Mkuu funguka japo kidogo,manake haielekei kuasingiziwa kitu kikubwa kama hicho...
 
Hivi mimi pengine akili yangu ndogo huwa sielewi, kwani mayai ya kuku huwa hayalliwi? Au mfugaji haruhusiwi kula mayai?

Huo ni msemo tu wa kumaanisha kitu kingine, si unajua kiswahili kigumu kama hapa kutokana na hii hadithi tunaweza sema buji buji ametembea na mama mkwe japokua sio kweli amesingiziwa, Sasa ili tufupishe sentesi tupunguze ukali wa maneno, na tuweke ladha msemo wa kiswahili ambao utafana hapa ndio huo wa kuku na mayai yake, au mfano mwengine wa ziada mtu anakuambia nimea ndege wa wili kwa jiwe moja, wew unafkiri ana maanisha nini??
 
We umemkula mama mkwe! Mama mkwe akaona njia ya kukukamata ni kukusngzia mimba ili akukombe kila kitu!
 
Mama mkwe wangu ana karibia miaka hamsini. Yeye hakuwahi kuolewa maishani mwake.

Tunaishi mkoa mmoja ila maeneo tofauti. Sasa ana ujauzito na kamwambia bintiye (mke wangu) kuwa ile mimba ni yangu. Eti nilimbaka.

Binti anataka na anataka tugawane mali. Msaada please, maana mwenyewe nimeelemewa na mawazo.
Pole sana ....
C86cjiAW0AENOLj.jpg
 
Bujibuji nawe siku hizi unaandika chini ya kiwango hivi?
 
Back
Top Bottom