Sheikh23
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,128
- 1,842
A.alleikhum,nimesikitishwa na habari ya timu yetu ya taifa Taifa Stars kuhitaji kuchangiwa pesa ili kumudu gharama za mashindano ya Afcon..
(Source:Mwananchi)
Taarifa hii imeniacha na maswali mengi kuhusu mapato ya wizara,shirikisho na mamlaka zinazohisika juu ya hili,ni kwamba hazina pesa au ishakuwa tamaduni kutumia timu kama mwamvuli wa kuchukua visenti toka kwa raia mnyonge ikiwa kuna serikali/wizara husika,nimetafakari mpaka na makusanyo ya matrilioni ya TRA kwa mwezi...
Inatosha,ila hili nimelipokea kwa kighazabika sana...