Nimesikitishwa Taifa Stars Kutembeza Bakuli

Sheikh23

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
793
1,000
A.alleikhum,nimesikitishwa na habari ya timu yetu ya taifa Taifa Stars kuhitaji kuchangiwa pesa ili kumudu gharama za mashindano ya Afcon..
(Source:Mwananchi)
Taarifa hii imeniacha na maswali mengi kuhusu mapato ya wizara,shirikisho na mamlaka zinazohisika juu ya hili,ni kwamba hazina pesa au ishakuwa tamaduni kutumia timu kama mwamvuli wa kuchukua visenti toka kwa raia mnyonge ikiwa kuna serikali/wizara husika,nimetafakari mpaka na makusanyo ya matrilioni ya TRA kwa mwezi...
Inatosha,ila hili nimelipokea kwa kighazabika sana...
FB_IMG_1560773603810.jpeg
 
kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,262
2,000
Hii itakuwa ni janja ya mtu flan kutaka kuwapiku wale waliochangia yanga milioni mia mbili na mia tatu, itaitishwa harambee hapa na mtu atatoa milioni mia tano, ili awafunike wenzie! hii awamu ina viongozi wa ajabu sana,. Wapenda sifa na makamera
 
Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
18,737
2,000
Taifa linatembeza bakuli,halafu Simba wanatucheka Yanga. Atakaechangia hajielewi. Bashite si awachangie? Najua Magufuli kamnyima pesa Harrison. Ndo maana Harrison hana jinsi imebidi aje kwa wanyonge. CAF inatoa hela,wamezipeleka kwenye Sitigilas goji?
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
13,198
2,000
A.alleikhum,nimesikitishwa na habari ya timu yetu ya taifa Taifa Stars kuhitaji kuchangiwa pesa ili kumudu gharama za mashindano ya Afcon..
(Source:Mwananchi)
Taarifa hii imeniacha na maswali mengi kuhusu mapato ya wizara,shirikisho na mamlaka zinazohisika juu ya hili,ni kwamba hazina pesa au ishakuwa tamaduni kutumia timu kama mwamvuli wa kuchukua visenti toka kwa raia mnyonge ikiwa kuna serikali/wizara husika,nimetafakari mpaka na makusanyo ya matrilioni ya TRA kwa mwezi...
Inatosha,ila hili nimelipokea kwa kighazabika sana... View attachment 1129881
Kwani mataifa mengine yanafanya Je ?!. Sisi tumekwama wapi ?! Mbona hua kuna pesa za kununua wapinzani na chaguzi za marudio ya maigizo ?! Tena mabilioni !! . Kwani mipango haikuepo toka timu ilipofuzu ?!.
 
kipanta

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
451
500
Hahahaha ase umenichekesha,
Taifa linatembeza bakuli,halafu Simba wanatucheka Yanga. Atakaechangia hajielewi. Bashite si awachangie? Najua Magufuli kamnyima pesa Harrison. Ndo maana Harrison hana jinsi imebidi aje kwa wanyonge. CAF inatoa hela,wamezipeleka kwenye Sitigilas goji?
 
kipanta

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
451
500
Taifa linapata aibu bila kutarajia!! Nchi inaonekana haikuwa imejiandaa kwakweli!! Wanafanya kufuru kwene mambo yasio na maana ila mambo ya msingi hawataki pesa itumike
Kwani mataifa mengine yanafanya Je ?!. Sisi tumekwama wapi ?! Mbona hua kuna pesa za kununua wapinzani na chaguzi za marudio ya maigizo ?! Tena mabilioni !! . Kwani mipango haikuepo toka timu ilipofuzu ?!.
 
ISLETS

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
8,167
2,000
Kama hawana hela warudi tu nyumbani wakae na familia zao kusubiri msimu mpya. Sio kusumbua sumbua raia
 
tremendous

JF-Expert Member
Aug 12, 2016
3,254
2,000
Hahaha!

Mpenda showoff huyo.

Role model wake atakuwa sepenga
Kuna moja nilihudhuria jana kidada kinaishi getto la ovyo kweli..lakin nashangaa sikuona kinywaji cha bei ya magufuli..yani zile gharama ni 2m na upuuzi

Nikawa nakiangalia nasema haka katoto kanatumia nin kufikiri,
 
Zesh

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
14,845
2,000
Wivu mbaya sana

Kwahiyo tifuatifua wameona yanga wanafaiiiiiiidi walivyochangiwa na wanavyoendelea kuchangiwa.... Nawao wameamua kupitisha bakuli... Mfyuuuuuuu
 
Zesh

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
14,845
2,000
Kuna moja nilihudhuria jana kidada kinaishi getto la ovyo kweli..lakin nashangaa sikuona kinywaji cha bei ya magufuli..yani zile gharama ni 2m na upuuzi

Nikawa nakiangalia nasema haka katoto kanatumia nin kufikiri,
Hiyo ndio shida ya maslay kwini.... Hizo pesa angefanya mtaji Kwani angekufa ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom