Nimesikitishwa sana baada ya kuona kwenye CCTV vitendo alivyofanya shemeji yangu.


Aliyekwambia denda ni uchafu nani?

Huyo mwanamke atakuwa ni mmoja wa wanachama hai wa MMU, kwa hiyo subiri matusi. Hawa watoto ndio zao, turudi zetu kwenye siasa. Hapa wanafundishana hadi kutoka nje ya ndoa zao.
 
Ndoa, ndoano... Jamaa hataki kujua. Kinachofuata hapo atalaumiwa mtoa habari wao watamalizana kwa bed
 
Makosa ni yako Ritz na huyo rafiki yako,mngetafuta namna ya kumkanya huyo shemeji yenu si kupeleka umbea moja kwa moja kwa mumewe. KINGA NI BORA KULIKO TIBA
 


Eti kwenye lift hakuna camera
 

Eti kwenye lift hakuna camera

Usilazimishe unachokitaka wewe kiwe kweli! Umegoogle image majengo ya nje unaonesha CCTV camera, nimekwambia kwamba I know about Lift surveillance cctv camera, na hii ni fani yangu, na ndio maana nikakuomba utupe ushahidi wa majengo ya hapa bongo yenye CCTV camera kwenye lift? Soma comments zangu to the dot mkuu! Mbona hutaki kukiri kwamba story yako ni ya kusadikika tu?
 

Acha uongo wewe kwa hiyo majengo yote ya Dar es Salaam wewe ndio unafunga CCTV ha haa haa haaa! Watanzania kwa uongo bana.
 

Hivi ukiwa kwenye CCTV ndiyo unayo ruhusa ya kutoa nje siri za watu? Habari za wapenzi wawili kulana denda kwenye lift zinamhusu nini controller wa CCTV? Ni kazi yake kuangalia madenda ya watu au kuchunguza usalama wa humo? Au aliombwa mzigo akanyimwa? Kwa hiyo analipiza? Hiyo video ikiathiri ndoa yake, huyo dada aende mahakamani, kushitaki kwa kuingiliwa privacy yake.
 
Aseee.........hii inaitwa attention to detail when scrutinising an incidence!!
unaweka kwenye halisia, then unaweka ideal time..........taken the circumstances zinaruhusu.

balaa hili!!!!

Mmmhhh haya weweeee
 
Acha uongo wewe kwa hiyo wewe kwa hiyo majengo yote ya Dar es Salaam wewe ndio unafunga CCTV ha haa haa haaa! Watanzania kwa uongo bana.

Mimi nimesema wapi kwamba ndio nafunga hizo CCTV Cameras? Do not beat around the bush and dwell on talking the talk!! Tetea hoja yako! Ijenge iwe na mashiko! Hapa ni kwa Great Thinkers, we don't just swallow whatever posted!
 
kama mume wake hasemi kitu why do we bla bla bla on the issue? Plus who among us can point the finger to her, while three fingers are pointing back to us? Think about it...
 
Mimi nimesema wapi kwamba ndio nafunga hizo CCTV Cameras? Do not beat around the bush and dwell on talking the talk!! Tetea hoja yako! Ijenge iwe na mashiko! Hapa ni kwa Great Thinkers, we don't just swallow whatever posted!
Kuna jengo Tandale ngoja liishe takupa kazi bingwa wangu wa CCTV Camera Tanzania nzima.
 
Kuna jengo Tandale ngoja liishe takupa kazi bingwa wangu wa CCTV Camera Tanzania nzima.
Nashukuru umekubali kushindwa japo kiubishi ubishi! Mara nyingine ukija hapa uje umejiandaa mkuu! NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK!
 
@Katikomile,
Hebu tugagadulie ni kipi kitachofanya elevetor isiwe na CCTV?? huenda una hoja ila hujafunguka. Kumbuka elimu ni kusaidia jamii sio kwa ajili ya tambo.
 

hii sio sawa mkuu maana mshkaji kaomba ushauri,iweje umshambulie kiasi hicho au nyie ndo mna wa** kwenye izo lifti,sio lzm uchangie
 
@katikomile,
hebu tugagadulie ni kipi kitachofanya elevetor isiwe na cctv?? Huenda una hoja ila hujanguka. kumbuka elimu ni kusaidia jamii sio kwa ajili ya tambo.

hizo tambo zangu ziko wapi? Wabongo bwana? Na wapi nimesema elevator haiwezi kuwa na cctv? Au umekurupuka na lako jambo mkuu?
 

nahis km kuna ka ukweli kwa mbaali
 

umefikiria au ni unajua lifti zote hapa duniani kuwa kazina cctv?

acha kuongea pumba wewe.
 

ndugu haya maneno yako ni sehemu zote ama specific mahala fulani.km ni sehemu zote ni uongo coz we nenda pale regency hotel ukafanye utumbo wako choon kama hajaonekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…