Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,470
Wanabodi JF.
Mie sio mwenyeji sana huku nimeona nije nipate michango yenu kutoka kwenu wadau wa MMU.
Kuna rafiki yangu wa karibu mke wake anafanya kazi benki mmoja maeneo ya posta mpya, mara nyingi anafanya kazi mpaka mida ya saa mbili usiku (part time).
Shughuli zake za kibenki zipo ghorofa ya saba ndio kuna ofisi yake, wakati anatoka kazini mida ya saa mbili usiku huwa anapanda lifti na mmoja wa mfanyakazi mwenzake wa kiume, mida hiyo ofisi zote zimefungwa kwenye jengo hilo.
Kinachofanyika kwenye lifti ni kunyonyana ndimi na kufanya machafu, tuna rafiki yetu pale kwenye hilo jengo yupo kitengo cha CCTV Control room ambaye ndio kanionyesha shemeji yetu anavyofanya uchafu huo.
Bahati mbaya rafiki yetu ambae mwenye mke kaambiwa lakini hataki kuona hizo picha za video za mke wake akifanya uchafu kwenye lift.
Aliyekwambia denda ni uchafu nani?
Huyo mwanamke atakuwa ni mmoja wa wanachama hai wa MMU, kwa hiyo subiri matusi. Hawa watoto ndio zao, turudi zetu kwenye siasa. Hapa wanafundishana hadi kutoka nje ya ndoa zao.