Nimesikitishwa sana baada ya kuona kwenye CCTV vitendo alivyofanya shemeji yangu.

Sasa wewe inakuhusu nini kama mwenye mke hataki we kinachokuuma nini,kama uliuomba akakunyima ndo maana umeamua umuanike humu JF,haitakusaidia hii we dili na mkeo,labda uwezi jua jamaa kashazoe na mama ndo anatoa matumizi we unataka umuaribie, MTU MZIMA KUWA MBEA HAIPENDEZI,UTAVALISHWA GAUNI WEWE

kwanini unadhani mmbea avalishwe gauni? au unadhani wambea ni wanawake tu? kwa taarifa yako hakuna mmbeya mmbaya kama mwanamume, tena huwa na umbea wa kuua haswaaa, labda ungeshauri avuliwe nguo rather than avalisher gauni, unatudhalilishwa wanawake... shame on you!
 
ndugu haya maneno yako ni sehemu zote ama specific mahala fulani.km ni sehemu zote ni uongo coz we nenda pale regency hotel ukafanye utumbo wako choon kama hajaonekana.

Mleta hoja ameongelea offfice premises si hotel!
 
hata hivyo jamani nyie mnatafuta nini kwenye hizo CCTV? huyo controler anatoaje siri za wateja wake kisheria inaruhusiwa kweli? halafu unajua umbea mwingine hauna hata mpango hivi huyo rafiki yenu akitengena na mkewe kwa sababu hiyo mtapata faida gani? nijuavyo mie hakuna alie msafi hata wewe na huyo rafikio mnafanya hayohayo ila tu pengine hamjanswa tu na CCTV! maisha ndivyo yalivyo hata pamoja na kuolewa one can get another guy ambaye anampenda kiukweli na akawa mpango wa kando bila kuharibu ndoa, tangu huyo jamaa yako ajue bila shaka amekosa amani kitu ambacho before hajakijua aliokuwa poa tu
 
umefikiria au ni unajua lifti zote hapa duniani kuwa kazina cctv?

acha kuongea pumba wewe.

Usikurupuke kama popo wewe mbongo! Soma hoja zangu vizuri kwa mtiririko na elewa sdubject matter kwa maana ja jengo linaloongelewa, usikimbilie tu dunian wakati hapa bongo huja-exhaust vya kutosha! Wewe mbongo gani au ulikuwa unawashwa tu kutukana mwelevu wewe! Acha kufikiri kwa kutumia masaburi maana sijui mtoa pumba ni nani sasa kati yangu na wewe?
 
Bahati mbaya rafiki yetu ambae mwenye mke kaambiwa lakini hataki kuona hizo picha za video za mke wake akifanya uchafu kwenye lift.

Naona mwenye mke karidhia kwa hiyo mwacheni kama alivyo au mcheck Prof. maji marefu rafiki yanu kalishwa limbwata
 
umefikiria au ni unajua lifti zote hapa duniani kuwa kazina cctv?

acha kuongea pumba wewe.

Mkuu wangu mbongopopo nashukuru kama na wewe umeliona hilo huyo jamaa kajitambulisha kuwa CCTV ndio fani yake anasema hakuna CCTV Cameras kwenye lift..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu mbongopopo nashukuru kama na wewe umeliona hilo huyo jamaa kajitambulisha kuwa CCTV ndio fani yake anasema hakuna CCTV Cameras kwenye lift..

Nimekuomba ushahidi wa hilo jengo lenye CCTV camera kwenye lift hapa bongo umeshindwa lakini unakomaa ati nimesema hakuna CCTV camera kwenye lift! Nimesema wapi? Duniani kote ama hapa bongo??? Let's think big guys!!!!
 
Mie naamini kabisa kwenye Lift kuna CCTV cameras kiusalama ingawa inategemea ni majengo yepila huyo operator wa CCTV anatakiwa awajibishwe kwani kaombwa kutoa ushahidi mpaka aanze kuview cameraAma na yeye anamtamani shemejie anataka kuvunja ndoa ili aanze kufukuzia ?
 
Umbea tu,kisa cha kuchunguza hadi yafanyikayo ndani ya lifts ni nin?! Wapiga chabo hambadiliki tu??!
 
Acha alipize kisasi, ukiona mwanamke amefikia hapo kama hakuwa hivyo zamani jua kuna maudhi? Nahisi ndo maana jamaaa hafuatilii maana anajua yeye ndo source na pengine mke alishamwambia kabisa kuwa nitatafuta mmbadala!!!! Kuna ndoa nilisimamia jamaa akaleta infidelity ndani ya ndoa na mkewe akajibu tena kwa kishindo ikabidi jamaa alisalimu amri na sasa ameshika abadu na ndoa nzuri sana. Huwa anakiri kwangu kuwa hatakaa arudie tena maana mkewe alimwambia wakti huo akilipiza kisasi aende mahakamani yupo tayari kwa talaka!!! Wakati mwingine akina baba tunasabababisah songombingo wenyewe na tusilaumu wake zetu!!!!!
 
badala ya kumwambia mume heri mngemuita huyo shemeji yenu mkamkanya, na ikiwezekana hicho kidume mkakikanya pia
 
mkuu tupe herufi za mwanzo za majina yao, huyo jamaa na huyo mke wa mtu.
Tehe tehe teheeee

Umbea kazi......
 
Usikurupuke kama popo wewe mbongo! Soma hoja zangu vizuri kwa mtiririko na elewa sdubject matter kwa maana ja jengo linaloongelewa, usikimbilie tu dunian wakati hapa bongo huja-exhaust vya kutosha! Wewe mbongo gani au ulikuwa unawashwa tu kutukana mwelevu wewe! Acha kufikiri kwa kutumia masaburi maana sijui mtoa pumba ni nani sasa kati yangu na wewe?

hata useme nini ulichoandika kwanza ndio kina stand, acha kujitetea kama vile unajua. basi si ungemuomba jina la jengo uende huko ukaone kama kakudanganya. Eti sasa unasema juu ya bongo, post yako ya kwanza haina hata hilo la bongo na pia hauna evidence kuwa anapoongelea hakuna CCTV ndani ya lift. na bado nasema uliongea pumba as ulichoandika kilikuwa kinaongelea ilivyo koteeeeeeeeeeeeeeeeeee.

ukubali usikubali umechemsha. pumba numetoa kweli kukimbilia kuandika kitu na kubishana na mleta mada kama vile yeye ndio hajui anachoongelea... unajifanya yale ya unajua kila kitu. Duniani watu kujifunza ndio kusonga mbele.
 
Pilipili usiyoila inakuwashia nini? wapeleke jamaa honey moon waka revive penzi lao
 
Sasa wewe inakuhusu nini kama mwenye mke hataki we kinachokuuma nini,kama uliuomba akakunyima ndo maana umeamua umuanike humu JF,haitakusaidia hii we dili na mkeo,labda uwezi jua jamaa kashazoe na mama ndo anatoa matumizi we unataka umuaribie, MTU MZIMA KUWA MBEA HAIPENDEZI,UTAVALISHWA GAUNI WEWE

hizi kauli za mla kiboga
 
hata hivyo jamani nyie mnatafuta nini kwenye hizo CCTV? huyo controler anatoaje siri za wateja wake kisheria inaruhusiwa kweli? halafu unajua umbea mwingine hauna hata mpango hivi huyo rafiki yenu akitengena na mkewe kwa sababu hiyo mtapata faida gani? nijuavyo mie hakuna alie msafi hata wewe na huyo rafikio mnafanya hayohayo ila tu pengine hamjanswa tu na CCTV! maisha ndivyo yalivyo hata pamoja na kuolewa one can get another guy ambaye anampenda kiukweli na akawa mpango wa kando bila kuharibu ndoa, tangu huyo jamaa yako ajue bila shaka amekosa amani kitu ambacho before hajakijua aliokuwa poa tu

Na kujua kitu inauma sana! Bora wasingemwambia! Sanasana wangemwonya huyo mwanamke kwa kutumia njia nyingine yeyote ya busara..
 
Huyo nae ni rafiki yetu kitendo hicho kilimkwaza ndio maana akaniambia.

Mlikosea sana kumwambia rafiki yenu... Soon mtaonekana mna wivu na ndoa yao! Hata huyo mwanamke atawachukieni sana hata kuwakebehi ataweza! Mlitakiwa kkumface mwanamke na bwana'ake waache huo ujinga...

Kwa sasa hivi ndiyo basi tena,potezeeni tu masuala yenyewe..
 
Katikomile kama una mchango kuhusu tofauti ya CCTV na Lift Surveillance CCTV Cameras uweke basi uelimishe wengi..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom