kajunjumele
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,490
- 1,364
NIMESIKITISHWA SANA NA KAULI YA CLOUDS FM.
Nimeingiwa na shaka na watangazaji wa clouds fm leo katika kipindi cha power breakfast baada ya kutangaza kwamba hawatatangaza habari za UKAWA eti wanawapa umaarufu leo nimejua hawa jamaa ni CCM pure!
Poor clouds fm.

Hao clouds wanatia shaka kama wana weledi wa taaluma ya habari, hutakiwi kutangaza habari zinazokufurahisha wewe tu, hata habari usiyoipenda nayo ni habari na unatakiwa kuipasha jamii.Siyo kila asiye waunga mkono ukawa na upuzi wao ni ccm ..Cloud fm bado nikituo bora cha matangazo ...Ukawa acheni kutapatapa
tangu anti virus tushawa delete!NIMESIKITISHWA SANA NA KAULI YA CLOUDS FM.
Nimeingiwa na shaka na watangazaji wa clouds fm leo katika kipindi cha power breakfast baada ya kutangaza kwamba hawatatangaza habari za UKAWA eti wanawapa umaarufu leo nimejua hawa jamaa ni CCM pure!
Poor clouds fm.
NIMESIKITISHWA SANA NA KAULI YA CLOUDS FM.
Nimeingiwa na shaka na watangazaji wa clouds fm leo katika kipindi cha power breakfast baada ya kutangaza kwamba hawatatangaza habari za UKAWA eti wanawapa umaarufu leo nimejua hawa jamaa ni CCM pure!
Poor clouds fm.
NIMESIKITISHWA SANA NA KAULI YA CLOUDS FM.
Nimeingiwa na shaka na watangazaji wa clouds fm leo katika kipindi cha power breakfast baada ya kutangaza kwamba hawatatangaza habari za UKAWA eti wanawapa umaarufu leo nimejua hawa jamaa ni CCM pure!
Poor clouds fm.
kesi ile ilifutwa kwa kukosekana kwa ushahidi, kwani hakuna mwanainchi aliesikia wakivunja maadili mkuu si unaziona hata hizo comments watu huwa hawasikilizi hiyo radio nakushangaa wewe unafaham hata kama walipigana!?hivi kwanza hao clouds wameshajibu mashtaka tcra kwa kukiuka maadili ya utangazaji? maana wafanyakazi wao walipigana" Live" studio kila mwananchi alisikia
clous ni mdudu gani
yap. na ndio ya saba na ya pekee tz ktk top 20 in africa kwa radio inayopendwa na watu. just sayin...