dealkubwa
Senior Member
- Jul 1, 2020
- 144
- 584
We acha nilikua na doz ya malalia nilipofikia maeneo ya msikit wa mtoro nikasema hapa kuna kivuli ngoja ninywe dawa zangu daah nilipigwa kofi kwenye utosi ikarushwa ngumi yenye dhamira ya kunitoa meno nikainama ilibid nitimue mbio nikaona swala hapa nimeingia chaka la simba