Nimeshuhudia shem akisaliti

Kama ulimuona na una uhakika na unajimudu kabisa kiakili na kiroho!!!!!

Mtafute wawili tu mwambie ya moyoni mwako then mikausho kama kawa maisha yaendelee!!!

Ushauri huu unafanana na ulio kichwa mwangu
 
Nimefikiria sana nikisema yakatokea ya kutokea chanzo kitakuwa mie

Wala wewe sio chanzo ila tu unajukumu la kumuambia kuwa sio poa ingawa anajua ila kukumbushana ni wajibu so kama unajimudu mkumbushe tu tena kirafiki kabisa!!!!!
 
Endelea na maisha yako hayo hayakuhusu kabisa. Sana sana mkiwa na shemejio kama ataliongelea mwambie si vizuri lakini kwa dada yako funga "mulomo" usije ukaangushiwa jumba bovu!

Nimekusoma..mier
 
Wala wewe sio chanzo ila tu unajukumu la kumuambia kuwa sio poa ingawa anajua ila kukumbushana ni wajibu so kama unajimudu mkumbushe tu tena kirafiki kabisa!!!!!

Yea nimefikiria sana sku moja nikae nae tupigeee story mwishoe nimtilie vile haikupndeza
 
huyu atakua mke wake wa pili hamna haja ya kuwahi kumtambulisha kwa dada yako tulia atatambulishwa rasmi siku moja
 

Huyo dada'ko wameoana na huyo "Shemeji" yako au wanafanya zinaanza tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…