Nimeshuhudia mkurya akifanyiwa tohara bila ganzi huku mtarimbo ukiwa unafuraha badala ya kusinyaa

Mbona wewe unajitoa boss..! Wakati mdogo wako umesema alirudiwa mara mbili means kwamba ni mkurya na Kwa mantiki hiyo na wewe unakua mkurya....!
Wadogo zangu wote hapa Nchini ni wakurya? Nimezaliwa 1987 wote ambao ni wadogo kwangu ina maana mimi ni kaka yao.

Hata wewe naweza kukutolea mfano wa mdogo wangu kama nakuzidi.
 
Duh.. Hii ni balaaa hawa watu si wa mchezoo..sipati picha mzaramo ndio anafanyiwa hivyo au mpembaa.. Hahahahah
Wapemba ni majasiri sana hasa kwa kitu wanachokiamini. Pia wako reasonable, wanaroho nzuri, waaminifu na wanaheshimu dini yao. Na imani kama ingekua kutahiriwa bila ganzi ni utamaduni wao wangefanya hivyo kwa ujasiri mkubwa na kwa fahari

Watende/Wakurya ni majasiri lakini kuna baadhi ya sifa kama huruma, rohonzuri na ucha Mungu wengi wao vimewapitia pembeni, na ukatili wa kutisha hupatikana maeneo ya huko kwao
 
Unafundishwa ujasiri, baada ya hapo kitu kina testiwa kama kina makali ya kutema cheche. Lazima binti awe akikaa akikumbuka kinavopenya mwili unasisimka anaitafta tena.
Kama hivyo ndivyo ilivyo wanaume wa kimasai na wakurya wangekuwa wanatafutwa kama dhahabu kutoka kona zote za Dunia hii..
 
Uliza wanawake watakujuza
Mwambie isee, kuna demu pale Moro huwa analia lia nimpelekee mtarimbo, mwingine yuko iringa huwa nae hivyo hivyo, akisikia fulani ni mkurya anawasimulia wenzake kuwa hao jamaa wanakamatia Show baraaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom