Nimeshuhudia Mafuta yakitoka chini Ardhini hapa Tanzania

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
5,200
Reaction score
7,027
Nafahamu Kuna Makampuni ya Kizungu labda na Serikali wakiendelea na Utafutaji wa Mafuta huko Baharini...!

Binafsi katika Utafutaji niliwahi kwenda maeneo flani ndani ya Tanzania huko Vijijini, wenyeji wangu wakanipitisha kwenye eneo Moja nikabaki kushangaa, kwanza Majani hayaoti eneo Hilo, ni eneo kubwa, Kuna miti tu michache ambayo ni Mikubwa ila hakuna mimea midogo midogo, kabla yoyote hajanambia chochote, nikajua eneo hili Kuna Mafuta, nikawauliza wenyeji wakasema ndiyo eneo Hilo Kuna Mafuta Japo hawajui kama ni Diesel ama Petrol, wakanambia ni muda mrefu Toka waanze kuona hayo Mafuta.

Kunakua kama Kuna Chemchem na Yale Mafuta yanatoka chini na kusambaa Ardhini, nikatoa simu yangu ili nichukue Video na Picha kidogo, ukawa Mgoro, nikaambiwa Wanakijiji hawaruhusu kuchukua picha, nikawauliza kama Serikali inajua, wakasema wanahisi Serikali haijui, coz kama Wangejua lazima Viongozi wangetembelea eneo Hilo.

Nikawaambia mnajua Serikali Kwa kushirikiana na Makampuni ya Kizungu wanatumia Pesa nyingi kutafuta Mafuta Baharini, na nyinyi eneo lenu Lina Mafuta na mmekaa kimya, Kwa Nini....!?

Wakanambia Ndugu haya ni Mashamba yetu, eneo hili lenye Mafuta ni kubwa na linamilikiwa na Wanakijiji wengi, kama wakienda kutoa taarifa Serikalini, itawafukuza, itawanyang'anya Mashamba, vijiji kadhaa vitahamishwa, na labda wasipate chochote, Ndo maana wanalinda eneo Hilo na haruhusiwi mtu kupiga picha hapo....!

Tanzania hii Kuna Mafuta Ardhini, sio ya kutafuta, ukifika utaona Chemchem Mafuta yakitoka Chini.
 
Mbona hujataja mkoa na wilaya.

Maana hata usipotaja, huwezi kuchimba wewe.

Ni mali ya umma.

Kuwa mzalendo katoe taarifa mamlaka husika.

Au wanakijiji walikupatia kipande cha Ardhi kulinda siri

downloadfile.gif
 
Mbona hujataja mkoa na wilaya.

Maana hata usipotaja, huwezi kuchimba wewe.

Ni mali ya umma.
Ni miaka Zaidi ya Kumi Sasa Toka Mafuta yaanze kutoka eneo Hilo, Mbona hao unaosema Mali ya Umma na hawajui!?
 
Nafahamu Kuna Makampuni ya Kizungu labda na Serikali wakiendelea na Utafutaji wa Mafuta huko Baharini...!

Binafsi katika Utafutaji niliwahi kwenda maeneo flani ndani ya Tanzania huko Vijijini, wenyeji wangu wakanipitisha kwenye eneo Moja nikabaki kushangaa, kwanza Majani hayaoti eneo Hilo, ni eneo kubwa, Kuna miti tu michache ambayo ni Mikubwa ila hakuna mimea midogo midogo, kabla yoyote hajanambia chochote, nikajua eneo hili Kuna Mafuta, nikawauliza wenyeji wakasema ndiyo eneo Hilo Kuna Mafuta Japo hawajui kama ni Diesel ama Petrol, wakanambia ni muda mrefu Toka waanze kuona hayo Mafuta.

Kunakua kama Kuna Chemchem na Yale Mafuta yanatoka chini na kusambaa Ardhini, nikatoa simu yangu ili nichukue Video na Picha kidogo, ukawa Mgoro, nikaambiwa Wanakijiji hawaruhusu kuchukua picha, nikawauliza kama Serikali inajua, wakasema wanahisi Serikali haijui, coz kama Wangejua lazima Viongozi wangetembelea eneo Hilo.

Nikawaambia mnajua Serikali Kwa kushirikiana na Makampuni ya Kizungu wanatumia Pesa nyingi kutafuta Mafuta Baharini, na nyinyi eneo lenu Lina Mafuta na mmekaa kimya, Kwa Nini....!?

Wakanambia Ndugu haya ni Mashamba yetu, eneo hili lenye Mafuta ni kubwa na linamilikiwa na Wanakijiji wengi, kama wakienda kutoa taarifa Serikalini, itawafukuza, itawanyang'anya Mashamba, vijiji kadhaa vitahamishwa, na labda wasipate chochote, Ndo maana wanalinda eneo Hilo na haruhusiwi mtu kupiga picha hapo....!

Tanzania hii Kuna Mafuta Ardhini, sio ya kutafuta, ukifika utaona Chemchem Mafuta yakitoka Chini.
Sifa ya Mwanaume ni Koo sasa ukibadilisha maana hii tutakuita wakike, kama kweli wewe ni Mwanaume utatumia Koo lako vizuri kupiga kimya kwasababu hata ukiwambia wahusika watafaidi wao na vizazi vyao na Wanakijiji wale watanyanyasika maisha yao yote, mangapi wanafaidi wakubwa na vizazi vyao lakini wewe haupo kwenye hizo system?? Jiulize! Powder
 
Back
Top Bottom