Nimeshtuka baada ya kuiona Dodoma, kwanini imeitwa jiji?

Nimeshtuka baada ya kuiona Dodoma, kwanini imeitwa jiji?

Mkuu ungetuwekea na vipicha kidogo wengine dodoma tunapasikia tu, na hako kaBunge tunakatizama kwenye tv ingawanapo sikuhizi sio saaana.
 
Sasa mfano Johannesburg au cairo utafananisha na jiji lipi kwa Tanzania..... Unapoongelea majiji ya nje ya Tanzania ujue hata Dar haitoingia......sisi tupambane humu humu ndani kwanza kwa viwango vya humu.

By the way unaonekana hata sifa za mkoa kuitwa jiji kwa Tanzania huzijui zaidi unajua ni miundombinu tu.
Sasa kijana kwa kijiji kile hata kama Tz hakuna ulipona kuna hadhi ya jiji ila kwa pale Dodoma ni kama Jangwa lisilokuwa na hadhi hata la utalii
 
Naombeni nitoe Ushuhuda wa Safari yangu hii ambayo niliianza juzi j5 hadi hivi leo ndio natoka hapa Dom ila WHY DODOMA KUITWA JIJI??? Nimepata shock sana wazee wa tafakuri ya JIJI sio kwamba alisema jiji amekosea ila HADHI ya jiji wote tuliowahi kutembelea majiji makubwa barani Africa tunalifahamu nini maana ya neno JIJI.
Sasa naomba niwape nilichokiona mimi pale DOM aisee hata kama wakoloni walisema pale ndio katikati ya Tz basi sawa ila sio kila katikaki ya NCHI lazima pasimikwe kuwa jiji,

Sijaona vitu hivi vinavyotambulisha JIJI

[emoji117] Barabara za lami za viwango?

[emoji117] Maghorofa mwanzo hadi katikati ya mji?

[emoji117] Mataa ya kuongozea magari ya kutosha?

[emoji117] Road reserve ya kutosha?

[emoji117] Pale Bungeni taa zake hazitoshi kabisa na
tena zingine haziwaki kabisaaaaa??

[emoji117] Maeneo ya kuingilia pale Bunge mkono wa
kushoto kutoka Dar maeneo yake ni
machafu, Nyasi zinatunza hadi Nyoka.

[emoji117] Vumbi na Baridi kwa kipindi hichi ni baadhi
ya mada nyongeza tu.


Naombeni nanyi mloyaona pale panapoitwa JIJI tujuzane hapa maana najua viongozi wa Serikali hapa wapo watasikia hichi kilio chetu wanaTanzania.....

kiben10 wa Zinjathropus wa History F2
Dodoma..jiji la dodoma. Kubali hali halisi
 
Sasa mfano Johannesburg au cairo utafananisha na jiji lipi kwa Tanzania..... Unapoongelea majiji ya nje ya Tanzania ujue hata Dar haitoingia......sisi tupambane humu humu ndani kwanza kwa viwango vya humu.

By the way unaonekana hata sifa za mkoa kuitwa jiji kwa Tanzania huzijui zaidi unajua ni miundombinu tu.
m nafkir alikuwa anataka kutueleza kwamba alishatembea majiji kadhaa ya africa....
 
kwani sifa ya jiji ni kuwa na maghorofa,wana darsalama wengi hawajafurahishwa na government kuhamia dodoma, watanzania tukutane wote katikati ya nchi ,itafika mda hzo barabara,stend na vingine vyote vitakaa sawa
 
Mkuu hayo majiji mengine unayosema wakati yanatanganzwa kuwa majiji yalikuwa na hali kama yalivyosasa? Inawezekan dodoma ikayazidi ,,,,,,
 
Back
Top Bottom