Huyu mama anasahahu kuwa kuna VICHAA wapo uingereza wanazungumza kiingereza ile mbaya.........na vile vile kuna VICHAA wapo ujerumani wanazumgumza kijerumani ile mbaya..................... BY THE WAY LUGHA ILIKUWA NI SEHEMU YA VIGEZO VYA KUPATA UBUNGE.........???? KWA MTAZAMO HUU...IPO SIKU TUTAWAITA WAJERUMANI NA WAINGEREZA WAJE WAWE WABUNGE HUKU KWA VILE WANAZIJUWA LUGHA HIZO KIUFASAHA...........Nashangaa hivi ilikuwaje kwa uelewa anaouonyesha huyu mama kwenye taarifa zake alikuwaje Mwenyekiti wa Wanawake Taifa wa Chadema?
1. Kama alikuwa na vigezo vya kuwa mbunge, kwa nini asingeenda kugombea jimboni?
2. Alikuwa wapi kufanya maamuzi ya kukihama chama siku zote mpaka asubiri akose ubunge ndio ang'ake kwamba chama kimejaa upendeleo na hakina demokrasia?
3. Je kuzungumza kwa ufasaha lugha ya Kiingereza na Kijerumani ni sifa 'kubwa' ya kuwa mbunge mpaka anainadi hadharani?
4. Je haya malalamiko yake toka huko nyuma amewahi kuyafikisha kwenye vikao rasmi vya chama?
5. Je amefanya utafiti kuwa huko anakokwenda kuna hiyo 'demokrasia' anayoitaka?
Kweli wahenga walisema funga domo lako kuficha ujinga wako!!
"
Vigezo vya kuteuliwa
"Wametaja vigezo vyao vyote, nimeangalia mimi ninavyo. Kama ni muda wa kutumikia chama nimejiunga na Chadema tangu mwaka 2004, tena nimeanza katika ngazi ya chini ya uongozi mpaka nikafikia hatua ya kuaminika na wanawake wenzangu na kunipa nafasi ya uenyekiti wa Taifa. Nimekuwa diwani kwa miaka mitano, nimekuwa mweka hazina wa madiwani wote wa Chadema."
Mbali na uongozi ndani ya chama, anasema amekuwa katibu wa mitandao ya asasi zilizo za kiserikali katika Wilaya ya Tarime, Mwenyekiti wa Wanawake wa Kanisa Katoliki Jimbo la Ukonga, Mratibu wa Asasi ya Mkamilishano Trust Fund iliyokuwa na makao makuu yake Ujerumani na Mwenyekiti wa Tukamilishane Women Association.
Elimu
Ni mhitimu wa kidato cha nne aliyepata pia mafunzo ya uuguzi nchini Ujerumani kwa muda wa miaka minne katika ngazi ya stashahada.
"Naweza kuzungumza vyema lugha tatu, Kiswahili, Kiingereza na Kijerumani, najiuliza kati ya wabunge wote wa viti maalumu kwa nini waniache wakati wapo wabunge waliochaguliwa ambao nawazidi elimu, michango katika chama, uwezo na hata muda wa kukitumikia?" anasema.
Mchango katika Chama
"Nimetoa michango mingi ndani ya chama. Mwaka 2006 nililipia pango la ofisi ya chama kwa pesa zangu mwaka mzima. Nilitoa pesa zangu nikanunua kiwanja kwa ajili ya kujenga ofisi ya chama huko Tarime. Kiwanja hicho kilikuwa katika Kata ya Nyanungu. Sasa hivi hiyo kata imegawanywa na kipo katika Kata ya Ikiryo."
Wakati mwingine si elimu na ujuzi tu, bali nyota pia.
Ukiwa mwanamke ili upate cheo lazima usafishwe nyota sasa inaonekana mama umri mkubwa sana ndio maana akatoswa ila ukiangalia huyu mama alikuwa na sifa za kuteuliwa maana alikuwa diwani kwa miaka mitano kuna wengine "wamepewa" hivyo vinavyoitwa viti "maalumu" hata u-monitor shule hawajawahi kuwa! pole sana mama hiyo ndio Chadema karibu NCCR - Mageuzi.
Mheshimiwa Mkumbo ametudanganya alisema huyu mama anacheti cha form four ukisoma kwa makini maelezo ya huyu mama utasikitika sana jinsi chama cha Demokraia kinapokuwa Chama cha Domokraia. Mkumbo upooooooooooooooooo?
Hata kama mnazushiwa jamani hebu pigeni hatua nyuma kidogo na mjihoji kidogo.Mhhh
1.Chacha->analia na Mbowe
2.Mziray-> analia na Mbowe
3.Kafulila->analia na Mbowe
4.Ndada->Mbowe
5.Mama huyu->Mbowe
6.Zitto naye->vs Mbowe.
Mmmmm jamani hebu geuzeni shingo, japo kwa sekunde.
MkamaP ----> Mbowe
Rev Masanilo ---------> Mbowe
Ama kweli mti wenye matunda hutupiwa mawe
Hata kama mnazushiwa jamani hebu pigeni hatua nyuma kidogo na mjihoji kidogo.Mhhh
1.Chacha->analia na Mbowe
2.Mziray-> analia na Mbowe
3.Kafulila->analia na Mbowe
4.Ndada->Mbowe
5.Mama huyu->Mbowe
6.Zitto naye->vs Mbowe.
Mmmmm jamani hebu geuzeni shingo, japo kwa sekunde.
Leading serious opposition parties in countries like Tanzania you must be tough because temptations are many.
Teh teh teh umenifuhasha sana.
Kwa hiyo RA na jk una matunda ya kutosha kutupiwa mawe. Na hata hivyo sijui kama umeshagundua kitu fulani nacho ni Ni mti ulio afrika tu wenye matunda na unaotupiwa mawe.
Nimeamua rasmi kukihama chama nilichokipenda kutokana na yaliyojiri bungeni. Narudisha kadi wiki ijayo.
Nilikipenda sana chama changu lakini kuendelea kuwa mwanachama nitakuwa siitendei haki dhamira yangu.
Nimeng'amua kwamba CCM ndicho chama makini chenye kuitakia mema nchi yangu Tanzania na kitakachoweza kuleta maendeleo ya kweli kwa kila mwananchi.
Chadema pamejaa ubinafsi na ukabila. Aidha viongozi wamekosa dira na ukomavu wa kisiasa.
Wenye mawazo kama ya kwangu juu ya Chadema mnakaribishwa CCM.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi!
Zidumu fikra za Mwenyekiti na RAIS wetu JK.