Nimeshindwa kupata jibu la moja kwa moja

pole.... mapenzi magumu sana na yanaumiza na kuleta mawazo kw ujumla hapo kuna kitu nyuma ya pazia...
 
Daaa ameshuka muheza kula kichwa chake ili safari isonge maisha ya mapenzi tungeyasusia wengi iwapo hamu na nyege zisingekuwepo miilini mwetu.
 

Acha roho nyepesi wewe, wenzako tushawahi ambukizwa gono na binti ambaye hajaguswa kabisaaaaaaaaaa
 

Kijana umenikumbusha mbaaaali yaani,nilitumiwa sms ambayo ilikuwa nje ya topic alafu nikalazimishwa kukubali kwamba inanihusu palikuwa,si pakawaida kidogo.
 
hii hua inatokea jama hata mimi nilishawah kukosea msg badala ya kumtumia mwingine nikamsendia mpenzi wangu...inatokana na kua umemzoea sana mpnz wako hasa ukiandika msg ya mapenz unajisahau wakati wa kusend..huyo dada anadate na mtu mwingine zaidi ako kama mimi enzi zile ilikua zangu kukosea kusend msg namchanganya flani na flani...bc inakua tafraaan
 
pole ndugu yangu...hapo yupo mwenzio coz hata sms yenyewe inaonesha ilikuwa haiji kwako...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…